Hizi ni siasa za kilaghai zisizo na tija kwa taifa letu. Kugawa mitundi ya gesi badala ya kukomaa JNHP ikamilike ni ni kutaka kutafuta kiki zisizofaa

Hizi ni siasa za kilaghai zisizo na tija kwa taifa letu. Kugawa mitundi ya gesi badala ya kukomaa JNHP ikamilike ni ni kutaka kutafuta kiki zisizofaa

Kasome mpango wa taifa wa miaka 5 from 2016 na sasa 2021..... Pia Ilani ya hiko chama kiliahidi hivyo. Team JPM waache kujifanya wajuaji wakati hayo anayofanya January ndio JPM aliahidi kwenye Ilani.

Mie sio CCM ila kuna tabia imezuka ya wafuasi wa JPM kujaribu ku undermine Kila kinachofanyika Ili tuu legacy ikumbukwe whilst JPM huyo huyo aliwahi washa taa kwenye nyumba ya tembe kupitia kina Kalemani..... Na huo unafiki ndio naopinga hapa.
Taa kwenye nyumba za tembe ni sawa ni mitungi ya gesi? Acha ushabiki.
 
WaTanzania mpunguze kulalamika, dunia nzima inaongelea nishati mbadala pia Ilani ya CCM na mpango wa taifa wa maendeleo wa miaka 5 (Ambayo ndio inamuongoza Rais na Mawaziri) inaongelea energy mix sio tu kwenye vyanzo vya umeme ila hata kwenye matumizi ya nishati majumbani.

Hivyo uwepo wa Hydro Power unatakiwa uende sambamba na nishati zingine kama Joto-Ardhi, Umeme wa upepo, Gesi n.k

So kama hamtaki gesi itumike waambieni wabunge wapinge utekelezaji wa mpango wa taifa otherwise mnaongea mambo msiyokua na uelewa nayo.
Gesi ikiisha utawanunulia,hiyo mitungi itakuwa stuli za kusongea ugali muda si mrefu, hata mwenyewe hutumii gesi sembuse lofa wa kijijini? kwa starehe gani na kipato kipi cha kununua gesi baada ya kuisha, na kwa nini kwanza kanda ya ziwa?
 
Ilani ya CCM ndio ilitaka energy mix maadam mliipigia kura sasa mnalalamika nini ikitekeleza?

Kma issue ni Bei mbona hamlalamiki kuwa umeme wa REA ni gharama maana itabidi walipie Luku Kila mwezi?

Changamoto zinaweza kuwepo ila kupinga Mradi mzima ni kukosa akili. Mimi ni mpinzani ila kwa hili naona mnamuonea tu
 
Unampa mwananchi mtungi wa gesi. Kesho kutwa hana hata pesa ya kujazia gasi huo mtungi ukiisha.

Kwa nini msikomae JNHP ikakamilika alafu umeme ukashuka bei na bidhaa kushuka bei na maisha mwananchi yakawa nafuu.

👇Huu ni ulaghai usiofaa. View attachment 2289171

Ww Una uwezo wa kununua ndio maana unawaza hivyo

Huyo mama Hana uwezo ndio maana amefurahi, kujaza mtungi wa gesi ni tofauti na kununua mpya

And yy hatotumia hiyo gesi kama matumizi yako

So anaweza kutumia hata Kwa miezi 2
 
Basi msipeleke umeme vijijini hawana hela ya luku
Luku? Umeme wa buku kwa kijijini ni unit 8 mtu anatumia mwezi mzima kuwasha taa. Acha kulinganisha na hii sambaza gesi wakati hata uwezo wa kununua na upatikanaji ni tatizo.
 
Mleta uzi ni chawa wa jiwe hivyo analazimisha yote yaliyoanzishwa na jiwe yapewe kipau mbele
JPM keshaondoka mwaka na miezi mitano yeye bado ni mfuasi kindakindaki, maishani unafika wakati wa kuachana na jana hata kama ilikuwa ni nzuri kwako kiasi gani.
 
Luku? Umeme wa buku kwa kijijini ni unit 8 mtu anatumia mwezi mzima kuwasha taa. Acha kulinganisha na hii sambaza gesi wakati hata uwezo wa kununua na upatikanaji ni tatizo.
Kwani gesi inatumika mwezi mmoja tu imeisha? huo umeme kuingizwa hapo nyumbani inalingana na bei ya mtungi mmoja? Maana mnavyoongea mtadhani umeme unasambazwa bure. Hizo taa kapewa bure?

Tukienda kwa staili hii mtasema serikali isipeleke umeme maana wananchi hawana hela ya kununua vifaa vya umeme!!
 
Back
Top Bottom