Hizi ni tuhuma nzito kwa Waziri January Makamba, Je kuna ukweli hapa?

Hizi ni tuhuma nzito kwa Waziri January Makamba, Je kuna ukweli hapa?

Chadema mnamsakama sana Makamba jr!
Kama anaharibu lazima tuseme, kwa nini hajasakamwa Nape, Jenista, Ndalichako, Jaffo, Makame, Masauni nk, why only Makamba jiulize, tatizo kujifanya smart na mjuaji kuliko wengine ndo tatizo, kujifanya wewe ndo msomi na muelewa kuliko wote ndo shida, akiendelea tutamsakama mpaka mwisho akijirekebisha tutamwacha!
 
Kama anaharibu lazima tuseme,kwa nini hajasakamwa Nape,Jenista,Ndalichako,Jafo,Makame,Masauni nk,why only Makamba jiulize,tatizo kujifanya smart na mjuaji kuliko wengine ndo tatizo,kujifanya wewe ndo msomi na muelewa kuliko wote ndo shida,akiendelea tutamsakama mpaka mwisho akijirekebisha tutamwacha!
Mtoto pendwa, mguse unuke!
 
Chadema mmeanza kuwaandama CCM na mavideo yenu duuuuuuuuuuuuuuu Makambà huko uliko imesikia mi siongezi kitu ila Napa ndisha sauti ya redio yangu hello Mr. Smart have you heard a certain creature dusting your credibility here please come and scold him a heavy scolding on his foreface so as he to be an exemplary to others to stop chewing your name and pour the sour saliva,I sink you understandingiiiiii, ok sank you!!!
 
Something is not right, s'thing is quite wrong mazee..

Wakuu siongezi kitu, tumsikilize mwamba hapa..!!!

View attachment 2183141

Mnaweza kupuuzia maneno ya huyu bwana lakini you will be doing it at your own peril!! Huyu January ana history ya kutokuwa muaminifu; kama mnakumbuka mara ya kwanza alipokuwa anaomba ubunge dada lake Mwanvita alikuwa na bwana Mzungu. January alimuandikia barua shemeji yake amtafutie mkopo wa fedha kama dollar million moja zimsaidie kwenye Uchaguzi na ANGEZILIPA BAADA YA YEYE KUTEULIWA KUWA WAZIRI WA MADINI BAADA YA UCHAGUZI!!

HAYA SIO MAJUNGU JAMANI HATUMSINGIZII JANUARY, COPY YA ILE BARUA IMO MWENYE ARCHIVES ZA JF; WAHUSIKA WAKITAKA WANAWEZA KUIWEKA HAPA kwani ilibandikwa hapa wakati huo.
 
Aiseee, ila haya maneno si ya kupuuza aisee, Mh. Rais amchunge sana January kiukweli
 
Back
Top Bottom