Hizi ni zana tulizotumia wana JF wa kale. Welcome to our museum

Utu uzima dawa, ya kale ni dhahabu. Tena ya kale hayanuki.

Twende sawa sasa

View attachment 2764990


Leso hii ilitumiwa na Maxence Melo enzi zile akiitwa computer Guru
hivi vitambaa nilikutana navyo moshi mwezi wa pili nilishanga sana ni katika duka moja la dawa linalomilikiwa na mangi lakini ajabu pale mapokezi kulikua na matairi ya gari mawili yameegemezwa ukutani kabla sijaingia ndani nilijiuliza sana hili ni duka la dawa au nimekosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…