Kingsmann JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 5,762 Reaction score 21,843 Dec 26, 2025 #1 Hizi nyimbo zina zaidi ya miaka 20, lakini yaliyoimbwa hiyo miaka 20 iliyopita ndiyo tunayaishi leo. 1. Prof. Jay - Nang'atuka Your browser is not able to play this audio. 2. Juma Nature - Nini Chanzo Your browser is not able to play this audio.
Hizi nyimbo zina zaidi ya miaka 20, lakini yaliyoimbwa hiyo miaka 20 iliyopita ndiyo tunayaishi leo. 1. Prof. Jay - Nang'atuka Your browser is not able to play this audio. 2. Juma Nature - Nini Chanzo Your browser is not able to play this audio.
Dreadnought JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 2,932 Reaction score 4,048 Dec 26, 2025 #2 Nang'atuka ilikuwa muendelezo au niseme final, Ilianza ndio mzee jamaa akiomba kura na ahadi kama zote, Kisha kikao cha dharura
Nang'atuka ilikuwa muendelezo au niseme final, Ilianza ndio mzee jamaa akiomba kura na ahadi kama zote, Kisha kikao cha dharura