Hizi nyimbo 2 za Bongo Fleva zilikuwa mbele sana ya wakati: "Nang'atuka" na "Nini Chanzo"

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
5,762
Reaction score
21,843
Hizi nyimbo zina zaidi ya miaka 20, lakini yaliyoimbwa hiyo miaka 20 iliyopita ndiyo tunayaishi leo.

1. Prof. Jay - Nang'atuka
Your browser is not able to play this audio.


2. Juma Nature - Nini Chanzo
Your browser is not able to play this audio.
 
Nang'atuka ilikuwa muendelezo au niseme final,

Ilianza ndio mzee jamaa akiomba kura na ahadi kama zote,

Kisha kikao cha dharura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…