Hizi nyimbo nikisikiliza nakumbuka mbali sana

Hizi nyimbo nikisikiliza nakumbuka mbali sana

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
Ila nikikumbuka hizi nyimbo nafurahi Ila Kuna mda napata huzuni Kuna watu tulikua tunaimba nao sasa hivi ni marehemu time flies

Wachuja nafaka yaleo Kali
Hardman-tamala
Adili ft Domo kaya pekee yangu
Fid Q mshika mawili
Jay mo cheza kwa step
Jaffarai Niko bize
Afande Sele mtizamo
Proff jay ndio Mzee
Mb Dogg latifa
 
Music is time travel machine, it can take you far beyond your reach,
 
K-Bazil - Kanizimia

Hatari na Nusu Nakumbuka Mbeya Nipo MTC nikilisikiliza likigongwa redion na Tobby The Splash na DJ Jeff Jerry huku wakiwa na DJ Malice.
 
Ila nikikumbuka hizi nyimbo nafurahi Ila Kuna mda napata huzuni Kuna watu tulikua tunaimba nao sasa hivi ni marehemu time flies

Wachuja nafaka yaleo Kali
Hardman-tamala
Adili ft Domo kaya pekee yangu
Fid Q mshika mawili
Jay mo cheza kwa step
Jaffarai Niko bize
Afande Sele mtizamo
Proff jay ndio Mzee
Mb Dogg latifa
Tamala naikubali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom