NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Hiyo ya kupima ukichanganya na mafuta ya nazi inakuwa bomba sana!!Habari wakuu...
Hivi hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original...
Mfano kuna jamaa anauza creed aventus mils 100 kwa 55k...
Kuna aliyewahi tumia?
Ubora upoje?
tutafute hela mahiAaaaah zisi laifuππππ€£
Si ndiooo!!!?Ndio maana naimix ili ninukiee afu usielewe nanukia perfume gani π€£π€£
Na mwenzake Creed.. hao ni kama AKI na UKWA.Suala la Sauvage Tz serikali inabidi iingilie kati π
Unatakiw uwe na machaguzi mengi.. nunua hata 3 ambazo zina composition tofauti..Sasa apa kiongozi utajuaje kama jasho lako linaendana na perfume flani. Naitaji muongozo apo kiongozi π
alitaka bei ya creed og kabisa hizo nyingine si hata za 70k zipo Og bhanaπ
Umeandika bei kubwa sana aisee...
Kwa Bongo, bei zipo kama ifuatavyo kwa ambazo ni OG kwa wanaume...
EDT zinarange kati ya 120,000 hadi 250,000 inategemea na brand, bei ya chini ni kama Jaguar, Cool Water, CR7, Issey Miyake na jamii zote hapo...
EDP kwenye familia hii, O.G zinarange kati ya 250,000 hadi kwenye 480,000 hapo inategemea na brand, bei ya chini hapa unaweza ukapata Montblanc zote, Mr Burberry n.k, ukiwa na budget nzuri utapata perfume nzuri kama Gucci Guilty, Versace Eros, Ralph's Club, Invictus, ADG n.k
Parfum hapa utakuta bei zake ni 500,000 kwenda juu na kwa bongo sana utakuta kuna Sauvage Exilir, Amouage, Creed, BVLGARI Le Gemme, Tom Ford Oud Wood n.k
Ingawaje siku hizi Dubai naona wamekazana kutoa copy ambazo ni low budget na inaonesha zinafanya vizuri, sijawahi tumia lakini nimeona unyunyu wa Amraf kama Club de Nuit una reviews nzuri...
ππππwakati FOGG spray 6000 tu na unanukia zako vizuriKweli sie wengine masikini tu, perfume tu 1.2m.?????
Nakuona hapa Clouds tvππ
Umeandika bei kubwa sana aisee...
Kwa Bongo, bei zipo kama ifuatavyo kwa ambazo ni OG kwa wanaume...
EDT zinarange kati ya 120,000 hadi 250,000 inategemea na brand, bei ya chini ni kama Jaguar, Cool Water, CR7, Issey Miyake na jamii zote hapo...
EDP kwenye familia hii, O.G zinarange kati ya 250,000 hadi kwenye 480,000 hapo inategemea na brand, bei ya chini hapa unaweza ukapata Montblanc zote, Mr Burberry n.k, ukiwa na budget nzuri utapata perfume nzuri kama Gucci Guilty, Versace Eros, Ralph's Club, Invictus, ADG n.k
Parfum hapa utakuta bei zake ni 500,000 kwenda juu na kwa bongo sana utakuta kuna Sauvage Exilir, Amouage, Creed, BVLGARI Le Gemme, Tom Ford Oud Wood n.k
Ingawaje siku hizi Dubai naona wamekazana kutoa copy ambazo ni low budget na inaonesha zinafanya vizuri, sijawahi tumia lakini nimeona unyunyu wa Amraf kama Club de Nuit una reviews nzuri...
asee 1.2m afu ukute kanakaaa miez 6 si bora nkanunue simu najua naka nayo mpakaUmenichekesha aisee... Lakini ni kweli. Tutafute hela mazee
Mshahara wa mtu huu unanunua pafyuminarange 900k -1.2m inategemea [emoji23][emoji23][emoji23]
ila tester 200k hivi mpk 350k si eti eh Depal
wenye hela zaoMshahara wa mtu huu unanunua pafyum
Tunaenda wapi sasa kupimwa jasho letu.All in all.. perfume inategemea na ww mwili wako unatoa jasho la aina gani.. mie naweza kupulizia kitu ikanikataa ila mwingine ikaw imempenda ina match na aura yake..
Sasa kuna wimbi la KUFATA MKUMBO.. mtu akiskia Sauvage inanukia vzr bas kesho na yeye kanunua.. anakuja kunukia kama kenge aliyekaangwa.
Yes, utofauti wa matumizi ndio utofauti wa kipato.wenye hela zao
alitaka bei ya creed og kabisa hizo nyingine si hata za 70k zipo Og bhana
Nakuona hapa Clouds tvπ
Mwaka jana niliingia kwenye duka la S.H Amon lipo mlimani city eti najitutumua namimi kuulizia bei za perfume mfukoni sina hata miaππ, aliingia mzee mmoja na kibinti cha 2000 aisee alimnunulia perfume ya " Greed aventus" alilipa 1m cash kwa card wakasepa namimi nikatafuta mlango wa kutokea nikasepa. All in all umasikini ni m'baya sana.Kweli sie wengine masikini tu, perfume tu 1.2m.?????
Kipindi nipo chuo niliwahi kuinunua iyo "Issey miyake" 250k cash eti kuzivutia bebez aisee katika maamuzi ya kijinga niliowahi kufanya ni hayo sasa hivi nikiliona chupa napata hasira iyo hela ningefuga kuku labda ningekua mbali.π
Umeandika bei kubwa sana aisee...
Kwa Bongo, bei zipo kama ifuatavyo kwa ambazo ni OG kwa wanaume...
EDT zinarange kati ya 120,000 hadi 250,000 inategemea na brand, bei ya chini ni kama Jaguar, Cool Water, CR7, Issey Miyake na jamii zote hapo...
EDP kwenye familia hii, O.G zinarange kati ya 250,000 hadi kwenye 480,000 hapo inategemea na brand, bei ya chini hapa unaweza ukapata Montblanc zote, Mr Burberry n.k, ukiwa na budget nzuri utapata perfume nzuri kama Gucci Guilty, Versace Eros, Ralph's Club, Invictus, ADG n.k
Parfum hapa utakuta bei zake ni 500,000 kwenda juu na kwa bongo sana utakuta kuna Sauvage Exilir, Amouage, Creed, BVLGARI Le Gemme, Tom Ford Oud Wood n.k
Ingawaje siku hizi Dubai naona wamekazana kutoa copy ambazo ni low budget na inaonesha zinafanya vizuri, sijawahi tumia lakini nimeona unyunyu wa Amraf kama Club de Nuit una reviews nzuri...
Mbona haulii? Macho makavuππππ€ͺ
π€£π€£π€£π€£ hatareeeKipindi nipo chuo niliwahi kuinunua iyo "Issey miyake" 250k cash eti kuzivutia bebez aisee katika maamuzi ya kijinga niliowahi kufanya ni hayo sasa hivi nikiliona chupa napata hasira iyo hela ningefuga kuku labda ningekua mbali.