Pre GE2025 Hizi pesa zinazotumika kuchafua chaguzi za CHADEMA, zimeingia kupitia "Mlangoni" au " Dirishani"

Pre GE2025 Hizi pesa zinazotumika kuchafua chaguzi za CHADEMA, zimeingia kupitia "Mlangoni" au " Dirishani"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katiba ya CHADEMA inasemaje kuhusu matumizi ya pesa ndani ya chaguzi za CHADEMA?
 
Wasiwasi wangu ni kuwa,

Kuna makundi mawili ndani ya chama yanayochuana vikali,

Kundi la kwanza ni la "Wasiokuwa nacho" vs "Walionacho".

Mambo haya yaangaliwe Kwa Umakini!!
 
Kuna siku utagundua hata Lisu ni pandikizi. Time will tell
Ndio maana ya checks and balance!!

Hata CHADEMA ikishika madaraka Leo, lazima upinzani uwepo kuwakosoa na kurekebisha Ili kujenga.
 
Ndio maana ya checks and balance!!

Hata CHADEMA ikishika madaraka Leo, lazima upinzani uwepo kuwakosoa na kurekebisha Ili kujenga.
Hakuna chama hapa duniani kitafanikiwa kufanya hivi.
Kila mwana Siasa ana interest zisizofanana na mwenzake.
 
Hakuna chama hapa duniani kitafanikiwa kufanya hivi.
Kila mwana Siasa ana interest zisizofanana na mwenzake.
Wananchi tupo kutaka kuona maslah yetu yanatimizwa kupitia vyama hivyo hivyo,

Ndio maana tunataka viwe vinapeana Awamu ya kuongoza kama vile Uingereza, Au marekani, 8 Kwa Democrat, 8 Kwa Republican.

Hapo ndipo penye maendeleo,

Sio kutawaliwa na chama kimoja miaka 60, 60 yrs ni umri wa kustaafu,

CCM imezeeka, tupate chama kingine haraka.
 
Unazani kuna mtu amezuia Raia wasifanye hayo maamuzi au ni Raia wenyewe hawajitambui kuwa wana nguvu ya kuamua kesho yao?

Hakuna siku chama kilichopo madarakani kitasema kinampisha mwingine. Hao uliowataja walipitia magumu sana mpaka wakaamua kuingiza hiyo sheria kwenye katiba yao. Tanzania hakuna sheria ya ukomo wa chama kutawala.
 
Tutaiweka soon wenyenchi.

Halafu hiyo haiko kisheria, ni wananchi wenyewe huswitch watakavyo.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Tutaiweka soon wenyenchi.

Halafu hiyo haiko kisheria, ni wananchi wenyewe huswitch watakavyo.
Mifano ya US na UK ni kikatiba.
Ndugu unaongea kama vile wananchi wote wanashea mawazo sawa. Kama ndivyo kwa nini mpaka leo wameshindwa kuiadabisha Chukua Chako Mapema?
 
Mifano ya US na UK ni kikatiba.
Ndugu unaongea kama vile wananchi wote wanashea mawazo sawa. Kama ndivyo kwa nini mpaka leo wameshindwa kjiadabisha Chukua Chako Mapema?
CCM ilishajifia kitambo,

Wanatumia vyombo vya ulinzi kuonekana wapo hai!!
 
CCM ilishajifia kitambo,

Wanatumia vyombo vya ulinzi kuonekana wapo hai!!
Chukua Chako Mapema haijajifia, bado inatawala.
Vyombo vya ulinzi vina % ndogo sana ya watu compared to Raia.
Raia wakiamua ku resist hakuna jeshi linaweza wazuia. Always Raia ni wengi kuliko askari.
 
Namuona lisu wa miaka ileeee! Kalejea kwa kishindo huyu achagui pa kupiga ukizinguwa tu unapigwa

Yaan nikama koboko mwenye asila ambaye hata agiguswa tu na jani jino linatembea sasa wale ndumila kuwili mliojificha mkizani hamja fahamika jisalimisheni mwamba kaisha shitukia mapicha

Maana mtu pekee ambaye ccm wanajua akisimama na bi mdashi atamdondosha kama gogo ni lisu na kwa vyovyote vile nilazima watamuundia njama iri tu wasikutanenaye fronti🔥🔥🔥🔥
 
Hii inaleta AFYA Kwa chama,

Pia imezima nyumbu humu ambao wao hudhani CHADEMA haiwezi kukosea irekebishwe!!
 
Hili siyo zengwe la kumchafua Msigwa ili asigombee uenyekiti pindi mbowe akiachia ngazi kweli? Kwa nini Iringa, na siyo Singida au Dodoma?
Nahisi hapa kuna siasa za kuchafuana.
 
Hili siyo zengwe la kumchafua Msigwa ili asigombee uenyekiti pindi mbowe akiachia ngazi kweli? Kwa nini Iringa, na siyo Singida au Dodoma?
Nahisi hapa kuna siasa za kuchafuana.
Watajwa watoke kujieleza wananchi tupo kuwapima na kuchukua UKWELI.

Sifa kuu ya Kweli ni kujitenga na uongo.
 
Salaam, Shalom!!

Amesikika Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA Mh TUNDU Lissu akitajadharisha wanachama wa CHADEMA kuwa makini sababu tayari Kuna pesa zimeingia kuchafua chaguzi ndani ya chama.

Amedai pesa za kuandaa mikutano ndani ya chama imekuwa ikipatikana Kwa taabu, lakini Cha kushangaza, katika chaguzi ndani ya chama, pesa zimekuwa nyingi, na amesema hadharani kuwa, pesa hizo zimetoka Kwa Abdul na Mama yake ingawa hakufafanua.

Pesa kuingia kupitia " MLANGONI" ni pesa Rasmi, Ruzuku, michango ya chama kama Join the chain nk nk, ila ikiwa zimepitia " DIRISHANI" ni pesa haramu.

Swali linakuja kuwa ikiwa zimepitia DIRISHANI, nani wahusika ndani ya chama waliohusika kuruhusu hujuma hizo?

Na ikiwa zimepitia MLANGONI Kwa maana ya kuwa ni pesa Rasmi, nani wako nyuma ya pesa hizo kutumika kuhonga wanachama wa CHADEMA?

Kwa mara ya kwanza Makamo Mkt, anakeemea hadharani RUSHWA ndani ya chama ilhali viongozi wa Iringa na njombe waliotajwa wako kimya!!

Kwa mara ya kwanza, naanza kuamini kuwa Adui wa CHADEMA, Yuko ndani kama ambavyo amewahi kudokeza Pascal Mayalla .

Swali: Pesa hizo, ni Rasmi za Ruzuku,michango ya wanachama kujitolea, au ni za Dirishani/ mlango wa uani?

Karibuni🙏
Za namna hii huwa haziingilii mlangoni bali madirishani..

Duuh, jamaa (CCM) wanataka kuingiza viongozi vibaraka wao..

Watoto wa mjini wanasema, CCM inarusha miguu ya kukata roho ya mauti...
 
Back
Top Bottom