Pre GE2025 Hizi pesa zinazotumika kuchafua chaguzi za CHADEMA, zimeingia kupitia "Mlangoni" au " Dirishani"

Pre GE2025 Hizi pesa zinazotumika kuchafua chaguzi za CHADEMA, zimeingia kupitia "Mlangoni" au " Dirishani"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Za namna hii huwa haziingilii mlangoni bali madirishani..

Duuh, jamaa (CCM) wanataka kuingiza viongozi vibaraka wao..

Watoto wa mjini wanasema, CCM inarusha miguu ya kukata roho ya mauti...
Yaezakuwa TABIA hii hawajaanza Leo,

Ni vile tu Lissu ameamua " Liwalo na liwe".
 
Kumbe CHADEMA ni wala rushwa? Ni hatari wakikabidhiwa nchi... WATAIUZA
 
Salaam, Shalom!!

Amesikika Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA Mh TUNDU Lissu akitajadharisha wanachama wa CHADEMA kuwa makini sababu tayari Kuna pesa zimeingia kuchafua chaguzi ndani ya chama.

Amedai pesa za kuandaa mikutano ndani ya chama imekuwa ikipatikana Kwa taabu, lakini Cha kushangaza, katika chaguzi ndani ya chama, pesa zimekuwa nyingi, na amesema hadharani kuwa, pesa hizo zimetoka Kwa Abdul na Mama yake ingawa hakufafanua.

Swali: Pesa hizo, ni Rasmi za Ruzuku,michango ya wanachama kujitolea, au ni za Dirishani/ mlango wa uani?

Karibuni🙏
Mkuu Rabbon , kiukweli huyu jamaa yenu, anawazeveza tuu, kujifanya hajui!. Kama sio huyu Mama, Chadema saa hizi ingekuwa RIP long time ago, kama nilivyo andika hapa CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao kama sio Samia, Chadema would have been long dead kwa ukata!.

Baada ya Chadema kutotambua matokeo, ikawatimua kina Mdee, wakakata rufaa Baraza Kuu, kutokana na ukata, Chadema ilishindwa kuitisha kikao cha Baraza Kuu, mpaka kiliposhikwa mkono na fulani!. Ina maana Lissu hakujua fedha za kuitisha Baraza Kuu zilitoka wapi?.

Viongozi wakuu wa Chadema, walifanya ziara nje ya nchi, chama kikiwa hoi bin taaban kiuchumi!, Lissu hakushangaa pesa zimetoka wapi ndio anajifanya kushangaa sasa!.

Kilichokuja kutokea, Chadema iliyatambua matokeo, ikalitambua Bunge na kumtambua rais, sasa wanalamba ruzuku ya wale wabunge wao 19!

Msikilize hapa JJ Mnyika
View: https://youtu.be/x5yFws4dc1U?si=8Xs0--sIxjLls1Qw.

P.
 
Nia ya kupandikiza viongozi mapandikizi ndani ya chama, wake kugombea ubunge na nafasi zingine, waijua?

Ndio hao wanaweza kuzuia Jabali asiingie chamani.

Jambo zuri ni kuwa, mipango ovu inaharibiwa Kwa wakati sahihi.
Kila mara CDM hupata majaribu ya kila aina safari hii mnalalamika kuwa mmeingiliwa kwenye uchaguzi wenu, Awamu ya 5 mnasema ilinunua wapinzani na wakaunga mkono na kisha covid 19 safari hii pesa za rushwa imepenyezwa kwenye uchaguzi.Je mtapenya na kusalimika? mtakuwa mmekomaa mkitoka wazima na buheri.Ombeni Mungu sana vinginevyo mtafika mmechoka
 
Kila mara CDM hupata majaribu ya kila aina awamu ya 5 kununua wapinzani na kuunga mkono na covid 19 safari hii pesa za rushwa imepenyezwa kwenye uchaguzi.Je mtapenya na kusalimika? mtakuwa mmekomaa mkitoka wazima na buheri.Ombeni Mungu sana vinginevyo mtafika mmechoka
Dhahabu hun'gara zaidi ikipita katika moto mkali.
 
M-barikiwa toka akiwa Dr's la Saturday

Abdul na mama take, polisi mshikeni fungueni kesi,ill mkailetee mahakama au kumwonyesha Abdul na mama yake itabidi wote akina mama Abdul nchini wajae cotini
 
Back
Top Bottom