Yaezakuwa TABIA hii hawajaanza Leo,Za namna hii huwa haziingilii mlangoni bali madirishani..
Duuh, jamaa (CCM) wanataka kuingiza viongozi vibaraka wao..
Watoto wa mjini wanasema, CCM inarusha miguu ya kukata roho ya mauti...
Umesoma ni wapi zilitoka kudhamiria kununua wapiga kura?Kumbe CHADEMA ni wala rushwa? Ni hatari wakikabidhiwa nchi... WATAIUZA
Mkuu Rabbon , kiukweli huyu jamaa yenu, anawazeveza tuu, kujifanya hajui!. Kama sio huyu Mama, Chadema saa hizi ingekuwa RIP long time ago, kama nilivyo andika hapa CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao kama sio Samia, Chadema would have been long dead kwa ukata!.Salaam, Shalom!!
Amesikika Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA Mh TUNDU Lissu akitajadharisha wanachama wa CHADEMA kuwa makini sababu tayari Kuna pesa zimeingia kuchafua chaguzi ndani ya chama.
Amedai pesa za kuandaa mikutano ndani ya chama imekuwa ikipatikana Kwa taabu, lakini Cha kushangaza, katika chaguzi ndani ya chama, pesa zimekuwa nyingi, na amesema hadharani kuwa, pesa hizo zimetoka Kwa Abdul na Mama yake ingawa hakufafanua.
Swali: Pesa hizo, ni Rasmi za Ruzuku,michango ya wanachama kujitolea, au ni za Dirishani/ mlango wa uani?
Karibuniš
Kila mara CDM hupata majaribu ya kila aina safari hii mnalalamika kuwa mmeingiliwa kwenye uchaguzi wenu, Awamu ya 5 mnasema ilinunua wapinzani na wakaunga mkono na kisha covid 19 safari hii pesa za rushwa imepenyezwa kwenye uchaguzi.Je mtapenya na kusalimika? mtakuwa mmekomaa mkitoka wazima na buheri.Ombeni Mungu sana vinginevyo mtafika mmechokaNia ya kupandikiza viongozi mapandikizi ndani ya chama, wake kugombea ubunge na nafasi zingine, waijua?
Ndio hao wanaweza kuzuia Jabali asiingie chamani.
Jambo zuri ni kuwa, mipango ovu inaharibiwa Kwa wakati sahihi.
Dhahabu hun'gara zaidi ikipita katika moto mkali.Kila mara CDM hupata majaribu ya kila aina awamu ya 5 kununua wapinzani na kuunga mkono na covid 19 safari hii pesa za rushwa imepenyezwa kwenye uchaguzi.Je mtapenya na kusalimika? mtakuwa mmekomaa mkitoka wazima na buheri.Ombeni Mungu sana vinginevyo mtafika mmechoka
Sasa kwanini mzikubali?Umesoma ni wapi zilitoka kudhamiria kununua wapiga kura?
Wangezikubali, wasingetoka kukemea hao mamluki na pandikizi.Sasa kwanini mzikubali?