Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
Rout ni nini?Wakuu . Kama kichwa kinavyojieleza
Nahitaji kuchukua wi-fi lengo kubwa ni kuona namna Gani naweza kusave Hela ambayo ningeitumia kununua vocha za Kila siku
Na nimepata hiyo hapo Pocket rout ya voda kifurushi kinaanzia 10k
Sasa nahitaji kujua kwenu wazoefu je hicho kifurushi Cha 10k unapata Gb ngapi na zinatumika kwa muda gan
Natanguliza shukran 🙏🙏🙏🙏 Karibu
Rout ni nin
Sijasoma haya mambo nimeyajulia ukubwaniRout ni nini?
Ok. Inaitwa Router.Sijasoma haya mambo nimeyajulia ukubwani
Shukran ila Zina shida ganAchana na voda utalia
🙏🙏Ok. Inaitwa Router.
Pia mshauri achukue ipi ili nasi tupate kujua🙌Usichukue zitakutia hasara
Namshauri kwa sasa apate faiba ya savanah kama ni router achukue ya yas ipo vizuri sana na hizo pocket wifi achukue za yas pia zipo fresh sanaPia mshauri achukue ipi ili nasi tupate kujua🙌
Zipo vizuri sana kivipi mkuu? Kwa stable network ya mtandao au? au ni uimara wa vifaa vyao?Namshauri kwa sasa apate faiba ya savanah kama ni router achukue ya yas ipo vizuri sana na hizo pocket wifi achukue za yas pia zipo fresh sana
Vodacom ndio superior Ivo choice za Router Gani kwanza mlengwa a check stability ya Mtandao wa Eneo alipo kabla hajaamua achukue router ipiZipo vizuri sana kivipi mkuu? Kwa stable network ya mtandao au? au ni uimara wa vifaa vyao?
Binafsi ubora wa mtandao unategemea saana na eneo ulipo. Kuna sehemu Halotel wapo vyema, voda wakawa vibaya, na sehemu zingine Airtel wakawa wana nguvu zaidi.
Yote kwa yote, Voda anaonekana kuwa superior zaidi kwa maeneo mengi nchini kuliko mitandao mingi.
Router ni mkataba ule mkuu, usipolipia ndani ya miezi mitatu wanachukua router yao.Hakuna router yenye kifurushi cha 10k mkuu.
Hizo ni siyo router ni Mi-Fi ambazo zina vifurushi visivyo na tofauti saana na laini za kawaida!
Router ndizo zenye Unlimited packages.
Router za mitandao yote zinaanzia na vifurushi vya 70K ambapo speed inarange kuanzia 15-25Mbps.
Kwa mimi, ninatumia Airtel na haijawahi kunipa changamoto kuubwa sana, ni zile zile tu za general ambazo zinasolvika haraka.
Na Airtel ndiyo wako cheap zaidi maana Router zao hawauzi, pia bando zao zina speed kubwa (25Mbps kwan70K tu).
Sio kweli.Router ni mkataba ule mkuu, usipolipia ndani ya miezi mitatu wanachukua router yao.
Kasome mkataba wa Router za ODU za Airtel utaona vyema hiko kipengele.Sio kweli.
Router ni mkataba ule mkuu, usipolipia ndani ya miezi mitatu wanachukua router yao.