AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 7,069
- 5,899
Hakuna kitu kama hicho.Router ni mkataba ule mkuu, usipolipia ndani ya miezi mitatu wanachukua router yao.
Hakuna kitu kama hicho.Router ni mkataba ule mkuu, usipolipia ndani ya miezi mitatu wanachukua router yao.
Huyu amedandia mtumbwi wa vibwengo😀Hakuna kitu kama hicho.
Una Router ya Airtel hizi toleo jipya za ODU?Huyu amedandia mtumbwi wa vibwengo😀
sahihi kabisaUkichukua leo hii Router ya Airtel zile ODU, kuna form unajaza. Soma ile form vizuri wameandika pale kwamba unapaswa kutumia huduma yao ndani ya miezi 24.
Ukishindwa kununua Internet kwao ndani ya miezi mitatu mfululizo, Router inabaki kuwa mali ya Airtel.
Hivyo ndivyo form inavyosema.
Sasa nashangaa kuna wapumbavu wanapinga.sahihi kabisa
Ninayo toka 2023Una Router ya Airtel hizi toleo jipya za ODU?
Achana na maandishi yalioandikwa kwenye form tafuta uhalisia. Wanachuo wamenunua sana hizo router kwa ajili ya biashara na wameshindwa kulipa wanaziuza wengi tu, Usikariri hii ni Tz sio US.Ukichukua leo hii Router ya Airtel zile ODU, kuna form unajaza. Soma ile form vizuri wameandika pale kwamba unapaswa kutumia huduma yao ndani ya miezi 24.
Ukishindwa kununua Internet kwao ndani ya miezi mitatu mfululizo, Router inabaki kuwa mali ya Airtel.
Hivyo ndivyo form inavyosema.
Ninayo laini ya ya Yas unlimited bundle unaweka kwenye simu sio lazima router au Mifi ila sasa unapata 10Mbps kwa 70kHakuna router yenye kifurushi cha 10k mkuu.
Hizo ni siyo router ni Mi-Fi ambazo zina vifurushi visivyo na tofauti saana na laini za kawaida!
Router ndizo zenye Unlimited packages.
Router za mitandao yote zinaanzia na vifurushi vya 70K ambapo speed inarange kuanzia 15-25Mbps.
Kwa mimi, ninatumia Airtel na haijawahi kunipa changamoto kuubwa sana, ni zile zile tu za general ambazo zinasolvika haraka.
Na Airtel ndiyo wako cheap zaidi maana Router zao hawauzi, pia bando zao zina speed kubwa (25Mbps kwan70K tu).
Yas unaweza kuunganisha laini unlimited sio lazima uwe na router ninkwemye simu tuKwa sasa ni bora Kununua router yenye unlimited maana hizi za GB 10, 20 nk zinakata ndani ya siku mbili wakati unategemea umalize mwezi.
Unafanyeje mkuuYas unaweza kuunganisha laini unlimited sio lazima uwe na router ninkwemye simu tu
Mkuu, mimi nimezungumzia hali ya mkataba ulivyo, ishu ya utekelezaji sijaelezea, nimesema tu kwamba mkataba unasema hivi na hivi.A
Achana na maandishi yalioandikwa kwenye form tafuta uhalisia. Wanachuo wamenunua sana hizo router kwa ajili ya biashara na wameshindwa kulipa wanaziuza wengi tu, Usikariri hii ni Tz sio US.