kabisa.........kama kawaida yetuKilaza mwingine๐๐ Tallest buildings hujengwa na serikali au wawekezaji ?? Lakini kwa kuwa umelopoka watu wa system walioko humu wanaenda kulifanyia kazi๐๐ Thats how we operate with JF
Mtoa thread kahainisha miradi mingi. Kunazaidi ya stendi Tatu za mabasi pamoja na masoko๐๐Pia mradi wa DMDP utakuwa na stendi zake na masoko yake, drainage/sewage system, barabara za kisasa, flood control system pale jangwani pamoja na vyoo na bafu za kisasa. Pia phase two ya mwendokasi itakuwa na stendi zake za kisasa๐ Kwa ninรฎ Dar isiwe the most modern city in East Africa ?? ๐๐ Jua bado kunampango wakuweka Tram rail system๐๐zikikamilika itawapa boost nakubaliana na hio mkuu ila kusema kuwa ndio itakuwa the most modern city in EA baada ya stendi ya basi sikubaliani...hapo ndio nina tashwishi nayo ila kwa sgr yenu nawapa tick kabisa
Nairobi is the most modern city in EA and will always be...hapo tumemaliza...
Itabaki kuwa ndoto kuwa the most modern city. Kuna mzungu alitembelea miji yote ya East Africa na alikili Dar iko modern zaidi ya Nairobi.๐Nairobi is the most modern city in EA and will always be...hapo tumemaliza...
Inamsaidia nini Mtanzaniakumbe ni bus stand๐๐๐๐ hebu jengeni tallest building in africa kwanza kisha mje tuzungumze kama wazee
Hivo wewe unaona kuna maendeleo hapo?kama maendeleo ni picha basi hayo ni maendeleo tena makubwa sana.
Kipindi ujenzi wa barabara za Mwendokasi unaanza tulionyeshwa hivi hivi mipicha ya kung'aa ila kwenye reality wenyewe tumeona matokeo yake,pale pale tulipoonyeshwa picha za kituo kizuri cha hayo mabasi pamekuwa ndo hapakaliki panatia hasara bus zinafia pale barabara lenyewe halipitiki alimradi vurugu.
Mie sio mwanasiasa,fuatilia post zangu humu na ujue sio kila anaepingana na wewe ni mwanasiasa na kwa sababu siasa zimekujaa kichwani hata ile akili yakufikiri tofauti umeitoa.hii sio dalili nzuri kwa kizazi chako.
nanyi stendi ya basi inamsaidia nini mkenya? swala ni kuwa mnaimba ati stendi ya basi itaifanya dar kuwa most modern city in EA...hapo ndio mnajidanganya mchana peupeInamsaidia nini Mtanzania
Naona una force mimi kupewa ban๐ When was that ?? ๐ Kilaza sio tusi balini ufikili wa mtu.๐lazima ujibu kwa matusi? umesahau ulilishwa ban juzi au? niulize swali nitakujibu tu...kwa matusi unajiaibisha tu
akili za kitumwa hizi...so mzungu mmoja akisema ndio unaamini kuwa ukweli??Itabaki kuwa ndoto kuwa the most modern city. Kuna mzungu alitembelea miji yote ya East Africa na alikili Dar iko modern zaidi ya Nairobi.๐
Ujenzi unaanza July unaisha baada ya miezi 18 yani mwaka mmoja na NusuKukamilika sasa 2070
yaani ulimwaga povu kana kwamba ulkua na mimba duh!!๐๐๐nani kakukasirisha hivyo we jamaaNaona una force mimi kupewa ban๐ When was that ?? ๐ Kilaza sio tusi balini ufikili wa mtu.๐
mkaazi mwingine wa nchi ldc๐๐๐๐Kenyans keep looting public money and use it for private projects like scyscrapers.
Now the city and suburb roads are pathetic and sewage and slums flows at every corner of their filthy towns because the public money is all lootes.
Hahahaaa.. mwanzo ulikua una andika hoja zimekuishia sasa umeonyesha rangi yakoNairobi is the most modern city in EA and will always be...hapo tumemaliza...
Tatizo lako wewe ni mgeni humu. Thread za Tatu na Konza ziko humu kama white elephant project๐๐Tunajenga tatu city na konza city lakini sijaskia au kuona wakenya wakijigamba hapa, hizo ni projects ambazo zishaanza tiyari. Na zingine kadhaa bado ziko kwa proposal kama hii yenu.
umeelwa ulichokiandika lakini??Mordern by standards of kenyans means speaking English ๐
Kwahiyo jangwani tumeshakubaliana kufugia kuku na misukule?