Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Uchaguzi umeisha na serikali iliyochaguiwa na Wananchi imeshaanza kuchapa kazi, Wananchi wa Tanzania wapo kimya wakisubiri kula matunda ya kile walichoahidiwa.
Kinachoshangaza baada ya kupigwa kichapo cha mbwa mtu kwenye ballot box mnaleta propaga za kishamba ambazo hazina kichwa wala miguu.
Mnaeneza uongo usio na mantiki, mlianza na mkwara mara Lissu atahutubia Eu parliament, Lissu mwenyewe akakanusha,mkapata aibu. Mkaja na mkwara mwingine kuwa mmefile case Icc, mpaka sasa hatujasikia kitu kutoka Icc juu ya Tanzania. Leo hii mmeibuka na uongo mwingine, Bunge la umoja wa Ulaya kujadili hali ya siasa Tanzania. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi toka EU juu ya uongo mnaoneza.
Kwa mantiki hii msitufanye sisi watanzania ni wajinga, tuachieni serilali tuliyoichagua ili itufanyie mazuri tuliyoahidiwa, mlishindwa kwenye ballot box na Chadema kukosa wabunge isiwe sababu ya kuleta mkanganyiko.