Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 2,933
- 8,112
😂😂😂Kamuulize mama yako.
Mkuu kumbe mwepesi hivyo...?
Yaani kushikwa makalio kidogo tu unaanza kulia Lia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Kamuulize mama yako.
Mkuu, hilo jamaa jinga kabisa.Mkuu Tangulia Mirembe kama unaamini serikali ilichaguliwa na wananchi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hizo hazikuwa kura bali ni kujihalalishia uchaguzi ki katiba , basiWapi huko? Je ni lazima kura za ubunge na udiwani zilingane?
Wewe jamaa ni mjinga sana,laiti kama ungejua jinsi ccm ilivyoshinda uchaguzi huu kwa kufoji na kwa nguvu plus hujuma na rafu kibao usingeleta uchuro wako hapa.Kuna mzee mmoja mwanaccm ktk Kata fulani, wilaya x kule Kagera,alinipigia simu na kukiri kuwa walifanya hujuma za kiwango cha lami wakati wa uchaguzi,na akasema anataka kwenda kutubu Kanisani maana inamuuma sana km mcha Mungu,halafu wewe ndo unatuletea uharo mweusi hapa.Acha kushangilia uovu maana Mungu hapendi.Uchaguzi umeisha na serikali iliyochaguiwa na wananchi imeshaanza kuchapa kazi, wananchi wa Tanzania wapo kimya wakisubiri kula matunda ya kile walichoahidiwa.
Kinachoshangaza baada ya kupigwa kichapo cha mbwa mtu kwenye ballot box mnaleta propaga za kishamba ambazo hazina kichwa wala miguu
Mnaeneza uongo usio na mantiki, mlianza na mkwara mara Lissu atahutubia Eu parliament, Lissu mwenyewe akakanusha,mkapata aibu. Mkaja na mkwara mwingine kuwa mmefile case Icc, mpaka sasa hatujasikia kitu kutoka Icc juu ya Tanzania. Leo hii mmeibuka na uongo mwingine, Bunge la umoja wa Ulaya kujadili hali ya siasa Tanzania. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi toka EU juu ya uongo mnaoneza.
Kwa mantiki hii msitufanye sisi watanzania ni wajinga, tuachieni serilali tuliyoichagua ili itufanyie mazuri tuliyoahidiwa, mlishindwa kwenye ballot box na Chadema kukosa wabunge isiwe sababu ya kuleta mkanganyiko.
Sasa kwa huo ujinga wako unatemegea uulizwe swali gani?Acha kuuliza maswali ya kijinga
Mkuu ili uonekane mjanja JF kuwa kama ndondocha kupinga pinga kila kitu.
Huku watu wana mawazo huru, kama umezoea kuangalia TBC1 ama channel 10, huku hapakufai, utapata pressure bure. Huku zile propaganda mnalisha waliolala hazina nafasi.
Ameshindwa nani ?!. Huyo mtu wako anauweza ushindani ?!. HAUWEZIMna ushahidi au hisia tu baada ya kushidwa?