Hizi propaganda mnazofanya ni ujinga? Au ni ushamba wa kisiasa?

Hizi propaganda mnazofanya ni ujinga? Au ni ushamba wa kisiasa?

Nenda kanyonye, acha kudandia mada za watu tunaoweza kumvua chupi mama yako.
Ndiko ulikofikia? Kwaujinga wako nilijua silaha uliyobaki nayo ni kukosa staha. Shame on you Pro CCM
 
Uchaguzi umeisha na serikali iliyochaguiwa na wananchi imeshaanza kuchapa kazi, wananchi wa Tanzania wapo kimya wakisubiri kula matunda ya kile walichoahidiwa.

Kinachoshangaza baada ya kupigwa kichapo cha mbwa mtu kwenye ballot box mnaleta propaga za kishamba ambazo hazina kichwa wala miguu

Mnaeneza uongo usio na mantiki, mlianza na mkwara mara Lissu atahutubia Eu parliament, Lissu mwenyewe akakanusha,mkapata aibu. Mkaja na mkwara mwingine kuwa mmefile case Icc, mpaka sasa hatujasikia kitu kutoka Icc juu ya Tanzania. Leo hii mmeibuka na uongo mwingine, Bunge la umoja wa Ulaya kujadili hali ya siasa Tanzania. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi toka EU juu ya uongo mnaoneza.

Kwa mantiki hii msitufanye sisi watanzania ni wajinga, tuachieni serilali tuliyoichagua ili itufanyie mazuri tuliyoahidiwa, mlishindwa kwenye ballot box na Chadema kukosa wabunge isiwe sababu ya kuleta mkanganyiko.
Kwani wewe unaona vipi!?
 
Uhuru unaousemea unampa melo wakati mgumu. Hakuna uhuru huo mkuu ni maigizo ya uhuru
Wala, huku watu wako huru, umewahi kusikia mtu katoa maoni yake humu jf akatumiwa watu wasiojulikana au kupigwa risasi? Huko kwenye media rasmi kama radio, TV nk, jaribu kwenda kukosoa ndio utafurahi.
 
Uhuru unaousemea unampa melo wakati mgumu. Hakuna uhuru huo mkuu ni maigizo ya uhuru

Tunampa wakati mgumu kwakuwa tunatawaliwa kwa shuruti bila ridhaa yetu. Lakini wanaotawala wangekuwa wanatawala kwa ridhaa ya wananchi, wasingekuwa na tatizo na uhuru wa maoni. Subiri utawala huu usio na ridhaa ya wengi ukimaliza muda wake, na kuingia utawala wenye ridhaa ya watu kama hujaona uhuru wa vyombo vya habari, midahalo mbalimbali isiyo na hofu, chaguzi zisizo na umwagaji damu wala mabeg ya kura za wizi, bunge huru na sio hilo kibogoyo nk.
 
Back
Top Bottom