Hizi propaganda mnazofanya ni ujinga? Au ni ushamba wa kisiasa?

Uchaguzi umeisha na serikali iliyochaguiwa na Wananchi imeshaanza kuchapa kazi, Wananchi wa Tanzania wapo kimya wakisubiri kula matunda ya kile walichoahidiwa.
tumeshakubaliana kabisa kwamba kuanzia sasa kwenye neno UCHAGUZI basi weka UCHAFUZI..... endelea ...
 
Dada huyo ameolewaaa[emoji444][emoji444]dada huyo ameolewa mahari yako tushapokea[emoji444][emoji444]
 
Tarartibu vijana, jiwe kashasema habadilishi wateule wake.
Kwahiyo vijana wengi waliotia nia kwa lengo la kukichagia chama, imekula kwao???? walikuwa wanadanganywa na uDC, RC, DED nk nk. Sasa kama mzee kasema habadirishi watendaji inakuwaje sasa?? wasubiri 2025 au????
 
Mkuu umesahau kuweka namba ya simu hapo chini ujue teuzi bado
 
Rekebisha hapo kwenye serikali iliyochaguliwa na wananchi. Weka serikali iliyowekwa na NEC, TISS Na Dolla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…