Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Futa hilo jina la sivyo utabakia kuwa kijana maskini maisha yako yote!Hakuna kitu nakiogopa (nina hofu nacho) duniani kushinda radi.
Radi zinapopiga huwa nakosa amani kabisa.
Tena zikigonga zile kubwa zaidi wakati nipo homu huwa nafunga milango na madirisha naingia chumbani nachukuwa shuka zito najifunika.
Kivumbi huwa pale zinapo piga wakati nipo kazini, kazi yangu ni uvuvi vuta picha tunakwenda baharini mbaaali kutoka nchi kavu.
huko hakuna kibanda wala mti ni maji tu. na inasemwa radi hushuka katika vitu virefu, mule baharini vitu virefu huwa ni sisi wavuvi na chombo/boti zetu.
Dah inahofisha sana.
SawaFuta hilo jina la sivyo utabakia kuwa kijana maskini maisha yako yote!
ππππππππUkiskia paa jua imekukosa
mambo bestiDuh aiseee hatari sana
Yaani umemaliza kulijenga taifa lako kwa uzi kama huu!!Hakuna kitu nakiogopa (nina hofu nacho) duniani kushinda radi.
Radi zinapopiga huwa nakosa amani kabisa.
Tena zikigonga zile kubwa zaidi wakati nipo homu huwa nafunga milango na madirisha naingia chumbani nachukuwa shuka zito najifunika.
Kivumbi huwa pale zinapo piga wakati nipo kazini, kazi yangu ni uvuvi vuta picha tunakwenda baharini mbaaali kutoka nchi kavu.
huko hakuna kibanda wala mti ni maji tu. na inasemwa radi hushuka katika vitu virefu, mule baharini vitu virefu huwa ni sisi wavuvi na chombo/boti zetu.
Dah inahofisha sana.
Hapana ila wakishua nyumba zao si zinakuwa na kinga ya hiyo radi.Kijana unaogopa radi ?
Wakishua sana wewe eeh
Tumerudi mkuu siku imepita salama kaziniAisee pole sana.
Usiogope radi unazozisikia, ukiisikia radi ujue wewe uko hai na usipoisikia ujue tayari tuliobaki tutaufinya kwa niaba yako.Hakuna kitu nakiogopa (nina hofu nacho) duniani kushinda radi.