Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Hakuna kitu nakiogopa (nina hofu nacho) duniani kushinda radi.
Radi zinapopiga huwa nakosa amani kabisa.
Tena zikigonga zile kubwa zaidi wakati nipo homu huwa nafunga milango na madirisha naingia chumbani nachukuwa shuka zito najifunika.
Kivumbi huwa pale zinapo piga wakati nipo kazini, kazi yangu ni uvuvi vuta picha tunakwenda baharini mbaaali kutoka nchi kavu.
huko hakuna kibanda wala mti ni maji tu. na inasemwa radi hushuka katika vitu virefu, mule baharini vitu virefu huwa ni sisi wavuvi na chombo/boti zetu.
Dah inahofisha sana.