Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Wengi tunaambiwa kuwa yale ni mapinduzi matukufu.
Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari.
Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe.
Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali kinachoendelea chini.
Video imeonyesha makaburi ya halaiki.
Video imeonyesha watu wakijaribu kukimbia kisiwa kwa matanga.
Video imeonyesha watu waliozagaa ufukweni kama nzige huku wakionyesha dalili za kufa.
Haya yote yalitokea Zanzibar. Watu wakauliwa kama wanyama!
Hii yote ili iweje, ili iwe nini na kwa nini?
Kwa video hii, kwa hali hii, hizi roho za waliodhulumiwa maisha yao zinastahili haki. Zanzibar kamwe haiwezi kuwa sawa sawia mpaka hizi roho zitendewe haki. Hii ni dhulma kubwa kabisa walitendewa watu hawa.
Hiii ni video iliyochukuliwa tarehe 12/January 1964 siku ya mapinduzi inaumiza sana: