Hizi roho za watu wasio na hatia waliouawa siku ya mapinduzi ya Zanzibar January 12, 1964 zinahitaji kutendewa haki

Hizi roho za watu wasio na hatia waliouawa siku ya mapinduzi ya Zanzibar January 12, 1964 zinahitaji kutendewa haki

Hivi nañi alimuua karume na ni Kwa nini?
Ili kutegua kitendawili chako, tujiulize nani angebenefit na kumuua Karume huyo ndo atakuwa alihusika!.

Inaweza kuwa ni kisasi, Maana Karume naye alikuwa na damu mikononi mwake.

Inaweza kuwa ni kwamba Karume alishaanza kwenda kinyume na bwana mkubwa ktk nchi wakati ule, kwa hiyo lazima awe eliminated!
 
Back
Top Bottom