Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari.
Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe.
Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali kinachoendelea chini.
Video imeonyesha makaburi ya halaiki.
Video imeonyesha watu wakijaribu kukimbia kisiwa kwa matanga.
Video imeonyesha watu waliozagaa ufukweni kama nzige huku wakionyesha dalili za kufa.
Haya yote yalitokea Zanzibar. Watu wakauliwa kama wanyama!
Hii yote ili iweje, ili iwe nini na kwa nini?
Kwa video hii, kwa hali hii, hizi roho za waliodhulumiwa maisha yao zinastahili haki. Zanzibar kamwe haiwezi kuwa sawa sawia mpaka hizi roho zitendewe haki. Hii ni dhulma kubwa kabisa walitendewa watu hawa.
Hiii ni video iliyochukuliwa tarehe 12/January 1964 siku ya mapinduzi inaumiza sana:
Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari.
Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe.
Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali kinachoendelea chini.
Video imeonyesha makaburi ya halaiki.
Video imeonyesha watu wakijarinu kukimbia kisiwa kwa matanga.
Video imeonyesha watu waliozagaa ufukweni kama nzige huku wakionyesha dalili za kufa.
Haya yote yalitokew Zanzibar. Watu wakauliwa kama wanyama!
Hii yote ili iweje, ili iwe nini na kwa nini?
Kwa video hii, kwa hali hii, hizi roho za waliodhulumiwa maisha yao zinastahili haki. Zanzibar kamwe haiwezi kuwa sawa sawia moaka hizi roho zitendewe haki. Hii ni dhulma kubwa kabisa walitendewa watu hawa.
Hiii ni video iliyochukuliwa tarehe 12/January 1964 siku ya mapinduzi inaumiza sana:
Anzia 0:54 mpaka 1:25 utaona wengine wamekufa chini ya mti ni maiti hizo sio watu hai ambao ukiangalia 0:08 hadi 0:30 walikua hai ilirudi helicopter jamaa wameshawafyeka chini ya mti ule
Kuna waliokuwa wakikimbia (hasa wanachama wa vyama pinzani), aidha siyo chama tawala wote walikuwa wabaya jamani. Mfano, katika jamii utakuta baba yuko chama A, mtoto na mjomba wake wako chama B, je ikitokea hasara kama ile ndiyo watashindwa kuwazika?
Kwa rekodi sahihi tu: mapinduzi yalitokea usiku mmoja lakini mauaji na hasa sehemu za vijijini yaliendelea kwa kipindi kidogo, mpaka Serikali mpya ilichukuwa hatua ya kuwachukua baadhi ya watu (hasa kutoka vyama vya upinzani) na kuwaweka sehemu kuwahifadhi na kuwalinda.