S Sendoro Mbazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 3,329 Reaction score 2,169 Jan 16, 2023 #181 Gavana said: Waliouwa ni nyinyi kanisa Katoliki chini ya mkatoliki mwenzenu Okello mliyemtuma, hamkujali hata wakatoliki wenzenu Click to expand... Duh
Gavana said: Waliouwa ni nyinyi kanisa Katoliki chini ya mkatoliki mwenzenu Okello mliyemtuma, hamkujali hata wakatoliki wenzenu Click to expand... Duh
M Missile of the Nation JF-Expert Member Joined May 24, 2018 Posts 15,101 Reaction score 56,054 Jan 17, 2023 Thread starter #182 Sendoro Mbazi said: Hivi nañi alimuua karume na ni Kwa nini? Click to expand... Ili kutegua kitendawili chako, tujiulize nani angebenefit na kumuua Karume huyo ndo atakuwa alihusika!. Inaweza kuwa ni kisasi, Maana Karume naye alikuwa na damu mikononi mwake. Inaweza kuwa ni kwamba Karume alishaanza kwenda kinyume na bwana mkubwa ktk nchi wakati ule, kwa hiyo lazima awe eliminated!
Sendoro Mbazi said: Hivi nañi alimuua karume na ni Kwa nini? Click to expand... Ili kutegua kitendawili chako, tujiulize nani angebenefit na kumuua Karume huyo ndo atakuwa alihusika!. Inaweza kuwa ni kisasi, Maana Karume naye alikuwa na damu mikononi mwake. Inaweza kuwa ni kwamba Karume alishaanza kwenda kinyume na bwana mkubwa ktk nchi wakati ule, kwa hiyo lazima awe eliminated!
M magu2016 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 8,027 Reaction score 7,115 Jan 19, 2023 #183 Chakaza said: Wewe unaishi ulimwengu gani? 1964 wenzako wameshaanza kwenda anga za juu wewe unaulizia colored video? Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app Click to expand... Shithole comment!
Chakaza said: Wewe unaishi ulimwengu gani? 1964 wenzako wameshaanza kwenda anga za juu wewe unaulizia colored video? Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app Click to expand... Shithole comment!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 19, 2023 #184 Inasikitisha sana...