Hizi shule za English Medium zimetugeuza Wazazi kuwa Walimu?

Ni marufuku kumfanyia mtoto wako homework, sasa hapo mwalimu atampimaje kama alielewa au hakuelewa.
Wajibu wako km mzazi ni kuhakikisha mwano anapata muda wa kufanya home work na amalize, hata ukimuona ameandika masifuri sifuri mwache akachezee fimbo au azomewe na wenzake ndio atapata akili.
 
Huoni imekusaidia, nawe umejifunza inamaana usingejua hayo mambo ya TB bila dogo....
 
Dogo aliwahi kuja na hii, "Parents use mobile phone, ___________, ___________ and ________.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!

Utopolo mtupu.

Swali ambiguous lisilokuwa na mbele wala nyuma!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji86][emoji23]
 
Kabisa mkuu.
Ualimu ni profession ya watu.
Wamesomea na wanalipwa!!
Kwa Nini mtoto asielewe wanapomfundisha?
Mbona mambo ya kawaida nyumbani anaelewa?
 
Dogo aliwahi kuja na hii, "Parents use mobile phone, ___________, ___________ and ________.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!

Utopolo mtupu.

Swali ambiguous lisilokuwa na mbele wala nyuma!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hapo utajua Nini amefundishwa huko?
 

Mtoto anaamini baba yake ni shujaa. Baba yake anajua kila kitu, baba yake anapiga "dunia zima" leo mwalimu anamkatisha tamaa mtoto kwa kumwambia "baba yake" hana akili. Hakumfanyia vizuri mtoto.
 
Mimi ningemfikishia mwalimu ujumbe wake.
Kuwa yeye ndio Hana akili kwa kushindwa kutambua Mimi sio mwalimu.
Na Sina teaching ethics yoyote.
Kazi yangu kutafuta hela.!
Pumbafu kabisa
 
1. Large Scale agriculture, eg Sisal in Tanga,Cashenut in Mtwara,Cloves in Zanzibar and Sugar cane in Morogoro. etc.
2. Beans, Cassava, those are scale for consumer only.
Najaribu kuchangamsha bongo kwakuwa Nina mabanda ya Geography na social studies.
 
Kabisa mkuu.
Ualimu ni profession ya watu.
Wamesomea na wanalipwa!!
Kwa Nini mtoto asielewe wanapomfundisha?
Mbona mambo ya kawaida nyumbani anaelewa?
Tena hawa watoto wadogo wakipata mwalimu mzuri wanaelewa ajabu. Mtoto wangu wa pili ana miaka 3 - kwa sasa anajua kuhesabu hadi 20. Akitaka kwenda haja anasema. Kama hataki kula aina fulani ya chakula anasema. Ukimpa kitu anasema 'asante baba au asante mama'. Akimaliza kula anapeleka vitu sehemu vinavyooshewa. Anajua kutaja rangi vitu mbalimbali mbalimbali na analilia aende shule ingawa hajaanza. Kwa hiyo, mtoto mdogo ni rahisi kushika jambo na hasahau kwa urahisi. Hizi shule za 'English medium' hizi ni tatizo kubwa! Shuleni anaposoma first born wangu nikiona bango la shule limeandikwa 'English medium' napata kichefuchefu sana!
 
1 estate/ plantation
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hapo utajua Nini amefundishwa huko?

Shida ndugu yangu, nikamwambia kama ni hivyo wewe jaza jaza tu hapo:

"cars, sewing machines and gas cookers."

Maana swali kama lilivyo ni purely ambiguous. Kaja kakosa yote 😂😂😂😂😂!

Hahaahaaa ananiambia "baba uliyonisaidia nimekosa yote!"

Hizi shule hizi. Utopolo mtupu!

Namsaidia vipi kwa hali hii hali sikuwapo darasani?
 
😂😂😂😂
 
•Home Tuitor nipo nafanya hata Online 0759 170 823. Englishmedium (Science,
Maths na ICT)

•Nafundisha Chemistry, Physics, Biology. O-level na A-level (kwa WhatsApp)

•Maths, Engineering science, ( O-level
pekee)
0759 170 823, nitumie SMS
 
Mimi ningemfikishia mwalimu ujumbe wake.
Kuwa yeye ndio Hana akili kwa kushindwa kutambua Mimi sio mwalimu.
Na Sina teaching ethics yoyote.
Kazi yangu kutafuta hela.!
Pumbafu kabisa
Mkuu, kama yupo humu najua ananisoma. Nilimfuata nikamwambia, akamchukia mtoto kwa kufikisha habari, usalama wa mtoto ukawa mdogo, nikamhamisha.
Namshukuru Mungu sasa yupo huru amezoea mazingira ya baridi.
 

Naunga mkono hoja yako. Wapuuzi sana hawa jamaa.
 
Hili swali n form six GS mkuu ,hawezi pewa swali LA namna hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…