mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kwa kweli Hili nalo linatakiwa lijadiliwe kwenye kikao cha wazazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeweka matango pori1. Large Scale agriculture, eg Sisal in Tanga,Cashenut in Mtwara,Cloves in Zanzibar and Sugar cane in Morogoro. etc.
2. Beans, Cassava, those are scale for consumer only.
Najaribu kuchangamsha bongo kwakuwa Nina mabanda ya Geography na social studies.
Wanapokea Watoto kutoka huku mkoani?Binafsi nimeachana na shule za kina junior za private .. my choice ni olimpio, bunge,
wao wanasema umsimamie akati anafanya hilo tizilake sio umfundisheAda ulipe na bado mtoto akirudi shule umfundishe
Kamanda!Binafsi nimeachana na shule za kina junior za private .. my choice ni olimpio, bunge,
wao wanasema umsimamie akati anafanya hilo tizilake sio umfundishe
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
... citing ... actually neno "citing/citation" sikumbuki kukutana nalo sekondari. Kama primary za siku hizi ni common word basi kuna mabadiliko makubwa!Masomo kama SOCIAL STUDIES ni magumu kweli kweli. Mtoto darasa la tano anapewa swali la homework utadhani ni A level- "Explain in details the benefits and challenges of Regional integration by siting examples in economic, social and other aspects "!! [emoji86][emoji86][emoji86]
....
Si kiherehere...Mkuu inaonekana hujamaliza kusoma habar maana jibu lipo humo
Nmecopy jibu la mdau mmoja hapo juu.Dogo akipewa mkasi leo home hapatatosha akirudi jioni 😁😁Umeamua kufata jibu lipi? [emoji3][emoji3]
Wanachokifanya si sahihi, kwani wazazi wengine ni darasa la saba tu unampelekea hesabu za form three? na kila siku inakuwa too much, mimi na kaelimu kangu huwa inabidi nigoogle sana na maswali ya hesabu huwa siwezi kumsaidia. Mtoto atalia kuwa ataenda kuchapwa. Hili jambo lanishangaza sana. Wanapaswa kuwafundisha waelewe then wawape homework.Acha kabisa mkuu,inakera mnoo.
Permanent cultivationAcha kabisa mkuu, binafsi pia inaniboa mnoo. Hapa dogo kaniletea maswali,nmejibu lakini kuna maswali mawili nmechemka.wajuzi wanisaidie please.
1.Farming involving permanent settlement is called...........
2.Farming with no permanent settlement is called.............
Nmemuambia akalale,namtafutia majibu atajaza alfajiri..nmejaribu ku Google lakini wapi
Hahaha,pole sana mzee mwenzangu.Wanachokifanya si sahihi, kwani wazazi wengine ni darasa la saba tu unampelekea hesabu za form three? na kila siku inakuwa too much, mimi na kaelimu kangu huwa inabidi nigoogle sana na maswali ya hesabu huwa siwezi kumsaidia. Mtoto atalia kuwa ataenda kuchapwa. Hili jambo lanishangaza sana. Wanapaswa kuwafundisha waelewe then wawape homework.
Watoto mia zaidi chumba kimoja, buku mbili daily kwa ajili uji na lunch balaa tupu! Kisa, kufuata ung'enge wa bei nafuu. Cheap is expensive.Kamanda!
Nasikia kupata nafasi hapo ni mbinde sana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Baba na mtoto michezo mingi
Wakuza mitaala wanajimwambafai sana siku hizi, wanaamini mifupa siyo haramu kwa kibogoyo.Hahaha,pole sana mzee mwenzangu.
Halafu watoto wenyewe ni wadogo na maswali yako advanced mnoo,mtoto haelewi chochote.mtoto yuko standard two,lakini maswali ukiyacheki ni ya secondary kabisa.
Nadhani kuna haja serikali kufanya ukaguzi wa hizi shule kuona kama walimu ambao ni trained kwa watoto wadogo na pia kuona kama zinatoa elimu inayoendana na hadhi ya kuitwa 'English medium school'. Yaani siku hizi nikion kibao kimeandikwa 'English medium school' naanza kusikia 'kichefuchefu'.Kabisa mkuu.
Ualimu ni profession ya watu.
Wamesomea na wanalipwa!!
Kwa Nini mtoto asielewe wanapomfundisha?
Mbona mambo ya kawaida nyumbani anaelewa?