Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Citing form four lipo..mitihani ya miaka hii ya karibuni... citing ... actually neno "citing/citation" sikumbuki kukutana nalo sekondari. Kama primary za siku hizi ni common word basi kuna mabadiliko makubwa!
Daa Kaka we kama hizo coat of arms na gas ndio maswali Kila sikuHakika umesema kweli yani kwa sasa na mm najiona nipo grade 3 A hahaha maana leo uataulizwa what is th process of changing liquid to gas mara draw coat of arm yan kwa kwel inachosha.
Huwa nawaza vipi kwa wale wazazi ambao hawajafika hata form four hawa watoto wanawasidiaje home work
Bado asubuhi hujakumbushwa kusign diary
... hapo sawa. Enzi zetu halikuwepo o-level labda a-level kwa baadhi ya combinations ..Citing form four lipo..mitiani ya miaka hii ya karibuni
Kama mfumo umebadilika na sisi wazazi kuwa sehemu shirikishi mbona ada zinaendelea kupanda bila kufikiria tunafanya kazi ya ualimu pia.!!
Hivi unadhani ni wazazi wangapi wanajua kila kitu watoto wao wataulizwa.!?
Kwanza masomo mengi.
Walimu wafundishe wanafunzi namna ya kupata majibu kutokana na walichowaelekeza.
Sio kuwapa tu homework waje kuuliza nyumbani.
Inaonesha mwanafunzi hajaelewa ulichomuelekeza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee elimu ya tz ni upumbavu mtupu,Wanachokifanya si sahihi, kwani wazazi wengine ni darasa la saba tu unampelekea hesabu za form three? na kila siku inakuwa too much, mimi na kaelimu kangu huwa inabidi nigoogle sana na maswali ya hesabu huwa siwezi kumsaidia. Mtoto atalia kuwa ataenda kuchapwa. Hili jambo lanishangaza sana. Wanapaswa kuwafundisha waelewe then wawape homework.
Hili umeongea ukweli kabisa, wanamtindo wa kutoa homework tena kwa topic za mbele ili wazazi wawasaidie kufundisha. Unakuta umerudi umtoka kwenye mihangaiko yako ya siku nzima Unakuta mtoto anakusubiri na maswali kama 150 hivi kwa masomo matatu, ili umsaidie homework, kwa kuwa umechoka na hautaki kumdisappoint mtoto unaamua kumfanyia homework, siyo kumfundisha narudia tena kumfanyia anacopy anaenda shule. Hizi shule ni mzigo na tunaibiwa sana. Mtoto akifika darasa la nne boarding lazima kwa kisingizio cha mtihani wa taifa, hivi watoto wakiwa day hawawezi kufundishika?Watoto kila siku wanarudi na homework mpya mzazi uwasaidie. Ukimuuliza anakuambia mwalimu hajamuelekeza akaelewa.
Sasa nalipia ada zaidi ya milioni ili watoto wapewe homework niwe mwalimu wao?
Kwa nini hawawafundishi wanafunzi wakaelewa ndipo wawape hizo home work wakazifanye!?
Wazazi wengine hatuna hulka ya kufundisha na wengine ndio tuliishia la sababa.
Tunatafuta hela na kulipa ada ili walimu wawafundishe sio watuletee homework kuja kutupima ujinga wetu..!! Walimu fanyeni kazi yenu ya kufundisha msihamishe goli.
Mbona kwenye ada hatupunguziwi kwamba tumeshiriki kufundisha watoto hivyo tulipwe stahiki zetu!?
Hizi shule wanachukua walimu wabovu tena form four ya kufeli na yote hii ni ubahili anaona kuliko amlipe mwalimu wa digrii sh laki 8 anachukua wa form 4 ya kufeli anamlipa laki 2 na nusu kwa mwezi.Nadhani kuna haja serikali kufanya ukaguzi wa hizi shule kuona kama walimu ambao ni trained kwa watoto wadogo na pia kuona kama zinatoa elimu inayoendana na hadhi ya kuitwa 'English medium school'. Yaani siku hizi nikion kibao kimeandikwa 'English medium school' naanza kusikia 'kichefuchefu'.
Hahahhaha mimi pia yani nasoma haswa nipo grade 1 na 3 A hatari. Ila pia jifunze kumtengeneza ajue kua anatakiwa asome mwenyewe. Mimj nampa page tatu asome kisha namuuliza maswal kdg inaanza kunipunguzia kazi[emoji1787] wanachosha na huwa hawakubali kirahisi ukiwaambia ntasaini kesho...ninao wawili basi kila siku ni kusoma...!
Duh !buni Brazil ilikuwa darasa la tano hiloEnzi zetu somo kama hilo 'Social' ndio ilikuwa Historia,Jiografia. Nakumbuka, mfano
Mtu unasoma vitu vya kueleweka kabisa; mf: Kilimo cha mahindi - Marekani, kilimo cha migomba -Kagera, nk.
NA ADA ELEKEZI IMEONDOLEWA JIANDAE NA ONGEZEKOWatoto kila siku wanarudi na homework mpya mzazi uwasaidie. Ukimuuliza anakuambia mwalimu hajamuelekeza akaelewa.
Sasa nalipia ada zaidi ya milioni ili watoto wapewe homework niwe mwalimu wao?
Kwa nini hawawafundishi wanafunzi wakaelewa ndipo wawape hizo home work wakazifanye!?
Wazazi wengine hatuna hulka ya kufundisha na wengine ndio tuliishia la sababa.
Tunatafuta hela na kulipa ada ili walimu wawafundishe sio watuletee homework kuja kutupima ujinga wetu..!! Walimu fanyeni kazi yenu ya kufundisha msihamishe goli.
Mbona kwenye ada hatupunguziwi kwamba tumeshiriki kufundisha watoto hivyo tulipwe stahiki zetu!
Amepoteaje?hizo alizozitaja siyo shule au una maana gani?Ushapotea
WANAPIMA MZAZI KAMA ALIPATA DEGREE KIHALALI AMA KWA KUDESAWatoto kila siku wanarudi na homework mpya mzazi uwasaidie. Ukimuuliza anakuambia mwalimu hajamuelekeza akaelewa.
Sasa nalipia ada zaidi ya milioni ili watoto wapewe homework niwe mwalimu wao?
Kwa nini hawawafundishi wanafunzi wakaelewa ndipo wawape hizo home work wakazifanye!?
Wazazi wengine hatuna hulka ya kufundisha na wengine ndio tuliishia la sababa.
Tunatafuta hela na kulipa ada ili walimu wawafundishe sio watuletee homework kuja kutupima ujinga wetu..!! Walimu fanyeni kazi yenu ya kufundisha msihamishe goli.
Mbona kwenye ada hatupunguziwi kwamba tumeshiriki kufundisha watoto hivyo tulipwe stahiki zetu!
Watoto kila siku wanarudi na homework mpya mzazi uwasaidie. Ukimuuliza anakuambia mwalimu hajamuelekeza akaelewa.
Sasa nalipia ada zaidi ya milioni ili watoto wapewe homework niwe mwalimu wao?
Kwa nini hawawafundishi wanafunzi wakaelewa ndipo wawape hizo home work wakazifanye!?
Wazazi wengine hatuna hulka ya kufundisha na wengine ndio tuliishia la sababa.
Tunatafuta hela na kulipa ada ili walimu wawafundishe sio watuletee homework kuja kutupima ujinga wetu..!! Walimu fanyeni kazi yenu ya kufundisha msihamishe goli.
Mbona kwenye ada hatupunguziwi kwamba tumeshiriki kufundisha watoto hivyo tulipwe stahiki zetu!
1. Permanent crop cultivation /Permanent AgricultureAcha kabisa mkuu, binafsi pia inaniboa mnoo. Hapa dogo kaniletea maswali,nmejibu lakini kuna maswali mawili nmechemka.wajuzi wanisaidie please.
1.Farming involving permanent settlement is called...........
2.Farming with no permanent settlement is called.............
Nmemuambia akalale,namtafutia majibu atajaza alfajiri..nmejaribu ku Google lakini wapi