Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,488
- 3,338
WANAPIMA MZAZI KAMA ALIPATA DEGREE KIHALALI AMA KWA KUDESA
HAHAHAHAAAAAAAAA
Kwa kweli ni kero na udharirishaji kwa sisi wazazi tusiosoma yani mwanangu daily homework ngumu lugha ndio sielewi basi inabidi nimsukume kwa jirani akamsaidie uko, Sasa sijui jirani ananifikiriaje[emoji1]
1- Settled farmingAcha kabisa mkuu, binafsi pia inaniboa mnoo. Hapa dogo kaniletea maswali,nmejibu lakini kuna maswali mawili nmechemka.wajuzi wanisaidie please.
1.Farming involving permanent settlement is called...........
2.Farming with no permanent settlement is called.............
Nmemuambia akalale,namtafutia majibu atajaza alfajiri..nmejaribu ku Google lakini wapi
duuh mkuu unampeleka kwa jirani yani baba na mama wote weupe kichwani??? hata google kutumia ikupe mwanga π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Kwa kweli ni kero na udharirishaji kwa sisi wazazi tusiosoma yani mwanangu daily homework ngumu lugha ndio sielewi basi inabidi nimsukume kwa jirani akamsaidie uko, Sasa sijui jirani ananifikiriajeπ
Historia, Jiografia, na Civil studies. Ilkuwa inaeleweka vizuri. Sahi mambo yanabadilika sana.Enzi zetu somo kama hilo 'Social' ndio ilikuwa Historia,Jiografia. Nakumbuka, mfano
Mtu unasoma vitu vya kueleweka kabisa; mf: Kilimo cha mahindi - Marekani, kilimo cha migomba -Kagera, nk.
Uzuri ameshajua ku Google akiona hayaeleweki anaomba simu tu.Tunagugo haswa
HAHAHAHAAAAAAAAA HARAMUHULIWANAHARAMUUUU HAHAHAHAAAAWamesha jua wazazi wengi wanao wapeleka watoto wao english mediam wao walidesa sanaa sasa hawati watoto wao wawe kama wao
yes , lipa ada kama hutaki peleka Kayyumba huko.Watoto kila siku wanarudi na homework mpya mzazi uwasaidie. Ukimuuliza anakuambia mwalimu hajamuelekeza akaelewa.
Sasa nalipia ada zaidi ya milioni ili watoto wapewe homework niwe mwalimu wao?
Kwa nini hawawafundishi wanafunzi wakaelewa ndipo wawape hizo home work wakazifanye!?
Wazazi wengine hatuna hulka ya kufundisha na wengine ndio tuliishia la sababa.
Tunatafuta hela na kulipa ada ili walimu wawafundishe sio watuletee homework kuja kutupima ujinga wetu..!! Walimu fanyeni kazi yenu ya kufundisha msihamishe goli.
Mbona kwenye ada hatupunguziwi kwamba tumeshiriki kufundisha watoto hivyo tulipwe stahiki zetu!
Tecno, Huawei and Oppo. ππππDogo aliwahi kuja na hii, "Parents use mobile phones, ___________, ___________ and ________.
πππππ!
Utopolo mtupu.
Swali ambiguous lisilokuwa na mbele wala nyuma!
Mkuu,mimi ni mhanga wa hili tatizo. Walimu wengi wanatoa kazi ya nyumbani kwa topic atakayofundisha kesho. Ukiwauliza walimu majibu yao wanasema wanamuandaa mtoto kuelewa haraka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee elimu ya tz ni upumbavu mtupu,
Sasa hapo hiyo homework atakuwa kafanya mwanafunzi au mzazi?
Lengo la homework ni kumpima mwanafunzi kama kaelewa alichofundishwa au la!
Yani unampa kazi akafanyie nyumbani kulingana na kile alichofundishwa!
Sasa mzazi ukimfanyia akaenda kupata vema atajiona na akili lakini kiuhalisia anakuwa hajaelewa chochote.
Hizi shule kumbe bora mtoto umpeleke kayumba tu.
Elimu ni shuleni na nyumbani.Watoto kila siku wanarudi na homework mpya mzazi uwasaidie. Ukimuuliza anakuambia mwalimu hajamuelekeza akaelewa.
Sasa nalipia ada zaidi ya milioni ili watoto wapewe homework niwe mwalimu wao?
Kwa nini hawawafundishi wanafunzi wakaelewa ndipo wawape hizo home work wakazifanye!?
Wazazi wengine hatuna hulka ya kufundisha na wengine ndio tuliishia la sababa.
Tunatafuta hela na kulipa ada ili walimu wawafundishe sio watuletee homework kuja kutupima ujinga wetu..!! Walimu fanyeni kazi yenu ya kufundisha msihamishe goli.
Mbona kwenye ada hatupunguziwi kwamba tumeshiriki kufundisha watoto hivyo tulipwe stahiki zetu!
Hii ishu haikubaliki!! Kuna mzazi hajasoma anapambana kutafuta pesa amsomeshe mwanawe apate Elimu bora!! Nenda shule kwa Mkuu wao, muulize lengo la homework ni nini??? Maana ni mazoezi ya kurudia alichofundishwa!! Na sio kuwapa wazazi kazi ya kufundisha!!!Watoto kila siku wanarudi na homework mpya mzazi uwasaidie. Ukimuuliza anakuambia mwalimu hajamuelekeza akaelewa.
Sasa nalipia ada zaidi ya milioni ili watoto wapewe homework niwe mwalimu wao?
Kwa nini hawawafundishi wanafunzi wakaelewa ndipo wawape hizo home work wakazifanye!?
Wazazi wengine hatuna hulka ya kufundisha na wengine ndio tuliishia la sababa.
Tunatafuta hela na kulipa ada ili walimu wawafundishe sio watuletee homework kuja kutupima ujinga wetu..!! Walimu fanyeni kazi yenu ya kufundisha msihamishe goli.
Mbona kwenye ada hatupunguziwi kwamba tumeshiriki kufundisha watoto hivyo tulipwe stahiki zetu!
HOMEWORK ANAPEWA VITU HAJASOMA SHULENI NABAKI LIKE HOW?!Na kimsingi haina maana kwa sababu homework ni yake yeye na anatakiwa afanye yeye mwenyewe ili kujua kama ameelewa au la... Sasa mwalimu anaposema nimsaidie huwa nashindwa kuelewa kabisa!
Kiukweli ni ujinga tunaoulea... Unamuuliza mtoto hii mmefundishwa anasema madam kasema tufanye na babaHOMEWORK ANAPEWA VITU HAJASOMA SHULENI NABAKI LIKE HOW?!
Naunga mkono hoja. Mzazi hutakiwi kumpa au kufanya wewe hiyo home work.Mtafutie nyenzo.Mfano, uwe na vitabu husika vya darasa analosoma mwanao waandishi tofauti.Mfano: Tie, Longhorn,adamson , na kama unajiweza uwe na kompyuta na umfundishe namna ya kuitumia n.k hivyo akikosa jibu anaweza kutafuta mwenyewe kwenye hivyo vitabu.EMitaala ya sasa ni "competency based"Hayo ya kuwategemea 100% ndio yaliyotufikisha hapa hivi sasa, hata mwanao akikuuliza kitu unashindwa kujibu kwa kuwa hukufunzwa kujishughulisha!
Japo mimi sina taaluma ya kufundisha lakini kwa sasa bila shaka mfumo wa utoaji elimu umebadilika!
Umetoka kwenye content based hivi sasa ni competence based, ambapo mwanafunzi ndiye anayepaswa kuwajibika zaidi! Mwalimu kazi yake ni kumwelekeza mtoto cha kufanya, hivyo kumtengenezea namna ya kufikiri na kutafiti zaidi!
Binafsi mwanangu anapofika nyumbani na homework ninavyoona anavyopambana kutafuta maelezo, nafurahia sana! Japo mara chache nipatapo nafasi namsaidia kidogo ila ameshazoea, na mara nyingi inabidi kitu kiwe kigumu sana ndio aulize!
Na hiyo ni baada ya kukosa majibu aliyoyaelewa maana hapendi kabisa kuandika kitu ambacho hakielewi!
Hivyo tusiwalaumu waalimu wa watoto wetu hivi sasa kwamba wanawabebesha mizigo, badala yake tuulaumu mfumo tuliopitia sisi ambao zaidi ulitufanya tuwe tegemezi pasipo kupata ujuzi wa kutosha!