Nimekata tamaa. Najiona si mimi tena. Nimekuwa mtu wa ajabu humu JF naona kama watu wote wameanza kunichukia. Sijui hata nitafanyaje. Naona kama tu nisiishi tena. Sioni makusudi ya kuishi katika hali hii. Nimekata tamaa sana.
Jana na leo sijapata hata mtu mmoja wa kugombana naye humu JF. Najiona kama nimepoteza kitu flani. Ghafla nimekuwa mnyonge na sina amani. Siku mbili sasa sina wa kugombana naye. Ni kama watu wamenitenga kwa upande huo. Kila ninayemjaribu naona kama ananikwepa hataki ugomvi.
Jana mpaka kuna mtu nilimchokoza halafu akaniomba yeye msamaha. Alinikwaza sana. Nlitegemea tugombane kinyama mpaka kutishiana maisha. Nikaona ame mute tu. Iliniuma sana.
Napogombana na watu mimi mashine inasimama kinyama hasa. Mpaka inauma. Hapo natafuta demu nakamua kwa hasira sana. Sitemi mate mpaka hata saa moja au mawili yanafika. Hata nikitema mate tu nikikumbuka tena ugomvi mashine inasimama tena.