Hizi siku mbili jana na leo zimekuwa chungu sana kwangu. Nimekata tamaa kabisa

Mkuu Chizi Maarifa! Budget MoF itatuvusha nimeona imekidhi vipaumbele vingi tuu.ikiwemo wanafunzi wa Diploma kupewa ufadhili na serikali! Sasa wangeweka na lile ombi lako la kuomba bando zipunguzwe! Maradufu!!!
 
Milembe kupo mkuu karibu🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…