Hizi sio mboga ni jaza tumbo

Mnavu ni dawa ya mapunye ya kichwa. Ulikula Griseofluvin.
 
Mboga nisiyopenda ni mlenda kwakweli sijawahi kupenda mlenda japo nikikuta ugenini ndo mboga iliyoandaliwa huwa nagusa kiaina nisionekane nachagua msosi ila bamia napenda ikiwa imepikwa nzima nzima
Hii nimeisahau
 
Mm nadhani inategemea na mapishi mana kuna hizo zilizotajwa hapo zikipikwa vzr utajilamba hadi vidole
Ndio nimesema mixing hata Bata alivyomchafu kuna mpuuzi akimpika utawachukia Bata wote wanapikwa Dunia nzima Ila ukipata mpishi hodari utasaka nyama ya Bata km huna Akili nzuri

Mimi niliwahi kuchukua nyama ya Kondoo sababu ya mpishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…