Hizi sio mboga ni jaza tumbo

Hizi sasa ndiyo mboga hasa. Nyingine zinaiga tu
 
Umetoka zako shule una njaa balaa. Kufunua vyombo,// ugali na kabichi wtf???
Utoto ilikua raha sana.
Siku hizi mie ndio nawadanganya wanangu ugali kabichi vinaongeza vitamin
Hivi kabichi wanaume limewakosea nini? Kwetu wakati tunakua kaka zangu walikuwa hawali wanasema mmepika vitunguu.

Binafsi kabichi nakula kwenye kila kitu, mboga, salad, supu, kwenye samosa au rolls za aina yoyote, nakula yenyewe kama chakula, tamu hatari ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mimi kisamvu sili maisha yangu yote, siipendi hata ipikwe kwa nazi 10!
Ushakutana na kisamvu kimewekwa utumbo wewe mixer karanga na unapiga na ugali wa dona?. Acheni masihara watoto wa kishua nyie hivi sisi ndio vimetulea. Mimi nasema kwa eksipiriensi

Poleni sana kama hamuli
 
1. Matembeie miksa nyanya chungu
2.Kisanvu miksa kunde mbichi....hii kitu nazipenda sana, vijana mnaokula mapiza hamtaelewa aiseee....
 
ila tuwe wakwel mm nakula mboga zote ...ila nyanya chungu hapana hiz sio mboga n kula sababu ya shida tu
Daah hizo sasa unapikia mchemsho , minyanya, kaloti, hoho yaani bonge la sotojo, ugali mdogoo.....kwa wale wazee wa daily kimoko, zinaongeza udambwi๐Ÿ˜€
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umenichekesha sana
Makapi sio [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Zimekukuza hizi.
Usiache mbachao Kwa msala upitao.
 
Wewe bila shaka utakuwa wale mboga thelathini tena zipatwazo baada ya kukwiba kodi zetu๐Ÿ˜Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ