Ubungo Mataa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2018
- 411
- 725
Kesi itakuwa fupi sana, nitakiri mapema.Wadau wa haki za wanyama wakuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi itakuwa fupi sana, nitakiri mapema.Wadau wa haki za wanyama wakuone
We kichwa maji kweli jamaa!!Kuna baadhi ya majani tumeamua kuyatunuku cheo kwamba ni mboga za kushushia na chakula.
Ila mimi nazipinga.
Mfano:
Majani ya maboga
Kisamvu
Mchunga
Majani ya kunde
Matembele
Mlenda
Mengine nimesahau majina.
Tuache kuyapakazia kuwa ni mboga, tunayasingiziq na hayana manufaa yoyote mwili bali ni shushia ugali tu.
UmetukoseaKuna baadhi ya majani tumeamua kuyatunuku cheo kwamba ni mboga za kushushia na chakula.
Ila mimi nazipinga.
Mfano:
Majani ya maboga
Kisamvu
Mchunga
Majani ya kunde
Matembele
Mlenda
Mengine nimesahau majina.
Tuache kuyapakazia kuwa ni mboga, tunayasingiziq na hayana manufaa yoyote mwili bali ni shushia ugali tu.
......... ULISHAWAHI KUTENGEWA NG'OMBE KWA SAHANI!!!?Kisamvu kinafanyiwa make up ili kiwe mboga, kutwanga, karanga, kuchemsha n.k.
Jamii forum kuna watu ni cream grade one ya hii website iq zao ,akili zao , uzi zao , mawazo yaoKuna baadhi ya majani tumeamua kuyatunuku cheo kwamba ni mboga za kushushia na chakula.
Ila mimi nazipinga.
Mfano:
Majani ya maboga
Kisamvu
Mchunga
Majani ya kunde
Matembele
Mlenda
Mengine nimesahau majina.
Tuache kuyapakazia kuwa ni mboga, tunayasingiziq na hayana manufaa yoyote mwili bali ni shushia ugali tu.
Mboga maboga ni nzuri sana inapunguza Kasi ya kuzeekaKuna baadhi ya majani tumeamua kuyatunuku cheo kwamba ni mboga za kushushia na chakula.
Ila mimi nazipinga.
Mfano:
Majani ya maboga
Kisamvu
Mchunga
Majani ya kunde
Matembele
Mlenda
Mengine nimesahau majina.
Tuache kuyapakazia kuwa ni mboga, tunayasingiziq na hayana manufaa yoyote mwili bali ni shushia ugali tu.
Ni mboga nzuri changanya na mayaiMboga zote izo fresh!! Ila aliyegundua kabichi alaaniwe!
Kuna siku nimekuta limepikwa mchemsho na ugali navyokula nikajihisi nimekuwa ng'ombe nakatiwa mashina ya mgomba!
Ila mnafu wa Nazi na kitimoto ugali!! Noma
👊👊👊👊👊Mboga zote izo fresh!! Ila aliyegundua kabichi alaaniwe!
Kuna siku nimekuta limepikwa mchemsho na ugali navyokula nikajihisi nimekuwa ng'ombe nakatiwa mashina ya mgomba!
Ila mnafu wa Nazi nakitimotougali!! Noma
Sitaki hata kujaribu mlenda mkuu🤣
... you're just not schooled enough!Jamii forum kuna watu ni cream grade one ya hii website iq zao ,akili zao , uzi zao , mawazo yao
Afu kuna grade ya kati hawa hawa atleast iq zao wana piga nyuzi kali pia
Kuna makapi ya jamii forum kama huyu mwandishi huwa wanaanzisha uzi hata kama huna manufaaa mara nyigi uzi unakuwa mfupi kama status ya whatsapp afu full pumba ....makapi ya jamii forum siku hizi yapo mengi sana
Umeolewa, sababu naweza kukuoa hata kesho asubuhi ili tuambatane maishani pamoja tukipiga vita kila tunapokwenda kukemea hii mboga inayoitwa kisamvu mimi sitaki hata mtu kuitaja mbele yangu.Mimi kisamvu sili maisha yangu yote, siipendi hata ipikwe kwa nazi 10!
Na wewe ni kapi au... you're just not schooled enough!
INNOVATIVE PEOPLE STAY PLAYFULL LIKE CHILDREN, THROUGHOUT THEIR LIVES! ... THEY NEVER ALLOW THEIR BRAINS TO AGE BY PRETENDING TO BE WISE, FOR NOTHING, LIKE YOU!
Kwa hiyo hydrochloric acid inafanya nini tumboni? Acha kutetea magugu mkuuWe kichwa maji kweli jamaa!!
Japo unachekesha mno!!Kuna uzima kwenye hizo mboga kuliko kwenye hizo za kizungu za ku control population hasa jamii ya Chinese, spinach etc!!
Kula mgagani na aina ya mboga chungu upone uric acid ndio maana Wana was israel kule misri waliambiwa wale nyama na mboga chungu!!?kwanini!!?coz uchungu was mboga no basic in nature ambayo itaenda ku neutralize acid (tindikali mwilini) hiyo tindikali ndio inaleta magonjwa !
That's why vegetarians hawaugui magonjwa hovyo hovyo!!
Hivyo TU!
1. Kusimamia kucha ndo uanaume mkuu?Si ajabu vijana.wa Leo mpo laini laini na kwenye show hamuwezi kwa kukwepa kula mbogamboga konki kama hizo.
Mtoto wa kiume unakula vipaja vya kuku wa amadori tena mnakula hadi mifupa yake halafu mnataka msimamie kucha mtaweza wap.
Kula tembele, Samvu, mnavu, boga, parachichi, ugali wa muhogo na maziwa ya mgando ya ng'ombe wa kienyeji harafu ulete mrejesho.
Watoto mnakuwa mayai mayai kwa kupenda vizuri vizuri tu, waulizeni mama zenu na dada zenu wa miaka ya late 70' na early 80' walivyokuwa wakifurahia show kutoka kwa wanaume kamili.
Leo tunaskia vijana kabla ya show mnapaka mkongo, sijui mnywe mo energy na panadol yote hayo ni kwa sababu hamtaki kula vyakula heavy.