GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Inadaiwa Wachezaji Aziz K na Kibwana Shomary WALIPIGANA Vyumbani baada ya Mechi kumalizika huku kila Mmoja akimlaumu Mwenzake.
2. Kuna tetesi zinasema Mwanachama Mwandamizi Mmoja mwenye Bifu Kubwa na Boss wa Timu baada ya kunyimwa Fedha zake na Madaraka aliyekuwa akiyataka na sasa Katengwa aliamua kutoa SIRI NZITO kwa Watu wa Azam Tv juu ya Wachezaji wa Yanga SC wanavyotumia Dawa za Kuongeza Nguvu michezoni kinyume na Kanuni na Sheria za Soka duniani.
3. Taarifa zisizo rasmi zinadai Mchezaji muhimu (ambaye wenyewe Klabuni Kwao) wanamuita Church Boy Max Mpia Zengeli mara mbili mfulilizo kukataa KUOGA MAJI YA KIUSHIRIKINA ya KAFARA la MAITI akiwaambia Yeye ni Mtu wa SALA / MAOMBI na kwamba huo UPUUZI haufanyi na kamwe hatoufanya na pia KUWAONYA waache tabia ya KUSHONEA HIRIZI katika Jezi zake pasipo Yeye kujua kwakuwa Mganga kawaambia kwa sasa NYOTA ya Timu inabebwa na Jina lake.
4. Aidha Inadaiwa Mchezaji Mudathir Yahya ambaye mara zote ndiyo alikuwa akitwishwa kubeba MIKOMBORA ya KIUCHAWI ya Timu yaliyobeba MAJINI kukataa KUYABEBA kwakuwa yalitaka kumletea MATATIZO makubwa ambayo hata yangegharimu MAISHA yake na pia UONGOZI kushindwa kumuongezea Hela kwa KUJIHATARISHIA huko Maisha yake KIUSHIRIKINA kwa maslahi ya Klabu.
GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE sijawahi kuingia CHIMBO halafu nisipate / nisipewe TAARIFA MUHIMU ambazo huwa zinakuwa za SIRI.
Kocha Mkuu anatathminiwa (japo inadaiwa Kiongozi kutoka Zanzibar hamtaki ila Msomali wa Bara anamkingia Kifua) na kaambiwa endapo Klabu itafanya vibaya katika Mechi yao ya Kwanza ya Makundi Klabu Bingwa Wiki chache tu zijazo basi atafurumushwa na tayari Makocha Wawili (Mmoja Mwafrika Mwenzenu na mwingine Mzungu) wameshaanza Mazungumzo ya awali na ya taratibu na Bosi Msomali ili Muajentina akiharibu tu Klabu Bingwa basi haraka sana Mmoja wao aje Kuchukua rasmi Mikoba.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kudadadeki...haya chukueni hii kwa 100% kwani sijawahi Kukosea KITAARIFA.