Hizi taarifa nne muhimu mnazificha ili iweje? Sasa Mwamba wa taarifa zilizojificha nazianika hapa

GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kipenzi cha MUNGU.
Ooooh kumbe unatuburudisha tu we entertainer hapo nmekupata,,kiburudisho chetu.
 
Stori zako mkuu zinaweza kuwa kweli ila si sababu ya kisayansi ya Yanga kufungwa, hizo ni taarabu tu mtani.

Shida ya Yanga kwasasa ni ndogo sana tu, ni timu kukosa mbadala wa Baka na Job, yaani wachezaji wengine wafundishwe tu namna Baka na Job wanacheza pale nyuma ili hao jamaa wakikosekana pasiwe na Shida, wanapokosekana timu inakosa balance pale nyuma hasa akili ya kukaba na kuanua mipira, simple problem wala sio ishu kubwa Tabora United walistudy goli la Azam lilivyopatikana baada ya Baka kutolewa kukawa free pale nje ya box nao wakarudia na kushinda Yanga, ishu ndogo tu wala si jambo la kutuhangaisha wana utopolo . Tushajua panapovuja ni kuimarisha kukaba katikati nje na ndani ya box letu wapinzani wasipige mipira, problem fixed.

Magoli manne Yanga imefungwa hadi sasa yote yametokea katikati juu kidogo ya box la Yanga, au ndani ya box ila katikati sehemu ambayo Baka au Job hucheza na kuanua mipira, hivyo ni kazi ndogo tu Master Gamondi tunajua ashaona, kama bado basi walio karibu nae wamwambie Yanga itafute mchezaji wa kuziba pengo la Baka au Job kazi kwisha, sote tunajua bado ubingwa uko pale pale Yanga ndo maana tuliwapigia makofi wachezaji badala ya kung'oa viti!!
 
Unaziwezeaga taarifa za makoro hizi za jangwani unaaingizia uchawi uchawi tu.

Clip ya kibwana na Aziz Ki wakilumbana ipo mitandaoni muda mrefu.
 
Israeli huwa inakimbia au inaoopa Vita? Tena waambie wawe makini kwani nimeshapewa Rungu kuwa yoyote anayenitolea Lugha mbovu nimripoti tu ili ale UMEME / BAN sasa Wewe wajaze Waumie / Waumizwe na Moderators. Nimemaliza.
Huna lolote wewe mwenywe kwa lugha chafu umetoka.kupigwa ban , kwamba leo ukabidhiwe rungu eti uripoti watu kadanganye mazuzu wenzako.
 
Hivi Mods mnawezaje kuruhusu mtu kuweka hapa Taarifa za uongo zinazozua tahatuki kwenye jamii?,Je sera za JF zinaruhusu haya?

Haiwezekani mtu anakurupuka kutoka kwenye virago vyake vya kulalia na mswaki hajapiga anaamua Kwa makusudi kuleta Taarifa za Uongo,Ushambenga na Umbeya Kwa jamii iliyostaarabika ili kuibua sintofahamu Kwa maslahi yake binafsi!

Tafadhali Mods ilindeni JF dhidi ya hawa wavuta shisha ambao uenda wameathiriwa kiakili na moshi wa shisha!

Maxence Melo
Diversity
Payge
Mhariri
BlackBold
Active
Boqin
Bridger
celix
Cookie
Fang

Tafadhali iokoeni JF,Futeni hii Takataka!
 
Umeshajiuliza ni kwanini hawa Moderators wote uliowaita hapa pamoja na Mmiliki wa huu Mtandao WAMEKUDHARAU?

GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kipenzi cha MUNGU.
 
Kwangu ni mtu muhimu sijui kwako kiongozi kila chenye mapungufu kina faida yake , chukua faida yake acha mapungufu yake
Na yoyote anayempenda na kumkubali GENTAMYCINE hata kama ana Mapungufu yake huyo ni Mwerevu na Mbinguni pia kwa Mwenyezi Mungu ataenda. Nashukuru Mimi kuwa Mtu wa muhimu Kwako na najua Wengi tu Mimi ni Mtu muhimu Kwao ila Chuki tu ya Umaarufu wangu na Kukubalika Kwangu hapa JamiiForums na kuwa na Mvuto wa Kipekee wa Kiuwasilishaji wa Masuala ndiko Kunawatesa na Wivu juu.

GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kipenzi cha MUNGU.
 
Ukiona jambo linafanywa na Yanga, ujue hata Simba wanafanya...
 
Back
Top Bottom