Hizi taarifa nne muhimu mnazificha ili iweje? Sasa Mwamba wa taarifa zilizojificha nazianika hapa

Tatigha Ubhukangi!
Kama ni Tusi Umenitukana basi lirudi pia na kwa Wazazi wako wote na wana Ukoo wako wote Kiumeni na Kikeni Okay?

GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kipenzi cha MUNGU.
 
Kama ni Tusi Umenitukana basi lirudi pia na kwa Wazazi wako wote na wana Ukoo wako wote Kiumeni na Kikeni sawa?

GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kipenzi cha MUNGU.
Wewe mwanamke una matatizo ya kiakili,kaombe ushauri Kwa wanawake wenzio waliokwisha elimika!
 
ID yako iliyopigwa BAN siku moja pamoja na Mimi inafunguliwa lini? Nilidhani tulipewa BAN sawa kumbe yako ni Kubwa?
 
Nimekwambia nenda Kwa wanawake wenzio ukafundwe,asubuhi asubuhi unamuacha mumeo kitandani unakurupuka na habari za Kishambenga!
 
Badala ya kujipanga na michezo inayokuja, mnaendekeza. umbea na majungu halafu mkifungwa mnasema GSM ananunua marefa.
 
ID yako iliyopigwa BAN siku moja na Mimi itarudi hewani lini ili uendelee kuitumia Kunishambulia pamoja na hii iliyo Hewani sasa?

GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kipenzi cha MUNGU.
 
Badala ya kujipanga na michezo inayokuja, mnaendekeza. umbea na majungu halafu mkifungwa mnasema GSM ananunua marefa.
Hasira zote hizi juu yangu GENTAMYCINE na huu Uzi ni kutokana na Vipigo Viwili vitakatifu vya Azam na Tabora United au?

GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kipenzi cha MUNGU.
 
Hasira zote hizi juu yangu GENTAMYCINE na huu Uzi ni kutokana na Vipigo Viwili vitakatifu vya Azam na Tabora United au?

GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kipenzi cha MUNGU.
Kwani ndio mara ya kwanza kufungwa? Mbona husemi kelele zenu ni hasira ya kufungwa mfululizo ikiwemo kupigwa 5G?

Majungu si mtaji.
 
1. Inadaiwa Wachezaji Aziz K na Kibwana Shomary WALIPIGANA Vyumbani baada ya Mechi kumalizika huku kila Mmoja akimlaumu Mwenzake.

2. Kuna tetesi zinasema Mwanachama Mwandamizi Mmoja mwenye Bifu Kubwa na Boss wa Timu baada ya kunyimwa Fedha zake na Madaraka aliyekuwa akiyataka na sasa Katengwa aliamua kutoa SIRI NZITO kwa Watu wa Azam Tv juu ya Wachezaji wa Yanga SC wanavyotumia Dawa za Kuongeza Nguvu michezoni kinyume na Kanuni na Sheria za Soka duniani.

3. Taarifa zisizo rasmi zinadai Mchezaji muhimu (ambaye wenyewe Klabuni Kwao) wanamuita Church Boy Max Mpia Zengeli mara mbili mfulilizo kukataa KUOGA MAJI YA KIUSHIRIKINA ya KAFARA la MAITI akiwaambia Yeye ni Mtu wa SALA / MAOMBI na kwamba huo UPUUZI haufanyi na kamwe hatoufanya na pia KUWAONYA waache tabia ya KUSHONEA HIRIZI katika Jezi zake pasipo Yeye kujua kwakuwa Mganga kawaambia kwa sasa NYOTA ya Timu inabebwa na Jina lake.

4. Aidha Inadaiwa Mchezaji Mudathir Yahya ambaye mara zote ndiyo alikuwa akitwishwa kubeba MIKOMBORA ya KIUCHAWI ya Timu yaliyobeba MAJINI kukataa KUYABEBA kwakuwa yalitaka kumletea MATATIZO makubwa ambayo hata yangegharimu MAISHA yake na pia UONGOZI kushindwa kumuongezea Hela kwa KUJIHATARISHIA huko Maisha yake KIUSHIRIKINA kwa maslahi ya Klabu.

GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE sijawahi kuingia CHIMBO halafu nisipate / nisipewe TAARIFA MUHIMU ambazo huwa zinakuwa za SIRI.

Kocha Mkuu anatathminiwa (japo inadaiwa Kiongozi kutoka Zanzibar hamtaki ila Msomali wa Bara anamkingia Kifua) na kaambiwa endapo Klabu itafanya vibaya katika Mechi yao ya Kwanza ya Makundi Klabu Bingwa Wiki chache tu zijazo basi atafurumushwa na tayari Makocha Wawili (Mmoja Mwafrika Mwenzenu na mwingine Mzungu) wameshaanza Mazungumzo ya awali na ya taratibu na Bosi Msomali ili Muajentina akiharibu tu Klabu Bingwa basi haraka sana Mmoja wao aje Kuchukua rasmi Mikoba.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kudadadeki...haya chukueni hii kwa 100% kwani sijawahi Kukosea KITAARIFA.
Yanga na Simba uaneni tuu hakuna hasara nitapata maana sipati faida yeyote 😁😁
 
Huwa sipendi pale ambapo mtu unaemheshimu na kumwona wa maana anakuja na habari kama hizi huwa naudhika sana ila basi tu yaan
Mambo mengine tuulize sisi wenyeji wa hili jukwaa ndio tunamjua huyu poyoyo. Huna haja kujiumiza kichwa kwa propaganda za kipopoma ambazo hajaanza leo wala jana. Hajaanza leo kuamini uchawi unategemea mada zake ziwe za nini?
 
Hivi bongo Kuna team Haina kamati ya ufundi(ushirikina,ulozi)?

Itapendeza nikijubiwa na Popoma
 
Na yoyote anayempenda na kumkubali GENTAMYCINE hata kama ana Mapungufu yake huyo ni Mwerevu na Mbinguni pia kwa Mwenyezi Mungu ataenda. Nashukuru Mimi kuwa Mtu wa muhimu Kwako na najua Wengi tu Mimi ni Mtu muhimu Kwao ila Chuki tu ya Umaarufu wangu na Kukubalika Kwangu hapa JamiiForums na kuwa na Mvuto wa Kipekee wa Kiuwasilishaji wa Masuala ndiko Kunawatesa na Wivu juu.

GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kipenzi cha MUNGU.
Mvuta bangi tu wewe huna lolote. Kujisifia upumbav tu. Tangu lini mhuni na mwendawazimu akawa kipenzi cha Mungu
 
Wanawake wenzio huku mtaani mbona hawana akili ya kijinga kama yako?
GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kipenzi cha MUNGU.
 
Mambo mengine tuulize sisi wenyeji wa hili jukwaa ndio tunamjua huyu poyoyo. Huna haja kujiumiza kichwa kwa propaganda za kipopoma ambazo hajaanza leo wala jana. Hajaanza leo kuamini uchawi unategemea mada zake ziwe za nini?
GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kipenzi cha MUNGU.
 
Huyu ndio genta.

Post ya kwanza tu ndio haina matusi.

Ila nyingine zote ni mikwara na matusi.

Huwa nacheka sana, nyuzi zako mkuu.
Unaweza ukanionyesha baada ya Uzi wangu wa Kwanza ni Post yangu ipi / gani nimetukana?

Yaani wanaonitukana katika huu Uzi huwaoni ila Akilini mwako amekaa tu GENTAMYCINE huku Ukikariri kuwa Natukana au nina Matusi JamiiForums nzima.

Dhambi ya Unafiki itakumaliza / itawamaliza.

Back
Top Bottom