Hizi taarifa nne muhimu mnazificha ili iweje? Sasa Mwamba wa taarifa zilizojificha nazianika hapa

Aziz Ki analala Kitambaa Cheupe Sinza
 
Hongera kwa kuingia chimbo na kutuletea taarifa nyeti. Kwa yanga mambo ya kishirikina ni kama samaki na maji. Tumeshuhudia wakiruka mageti na kuiba taulo za magolikipa wa timu mpinzani wakiwemo Kibwana na Nzize, kwahiyo taarifa yako inaweza kuwa sahihi kwa 99% ila ukisema hujawahi kosea ktk taarifa zoko sidhani, Kuna siku ulitupeleka chaka kuwa makamu wa rais kawekwa bond Korea kusini kutokana na madeni ya nchi. All in all unapambana kutafuta habari nyeti. Big up.
 
Wakati wenu wa kuzusha, ila ligi bado tutakumbushana ikifika zamu yenu.
 

kwa hiyo huyo Bacca na Job ndiye aliyewazuia washambuliaji wasifunge? kwanini wao Yanga wasingefunga goli tano na kufungwa goli hizo tatu.

bro!??!
 
kwa hiyo huyo Bacca na Job ndiye aliyewazuia washambuliaji wasifunge? kwanini wao Yanga wasingefunga goli tano na kufungwa goli hizo tatu.

bro!??!
Unadhani aliyekuwa Kocha wao Mkuu Luc Eymael Raia wa Ubelgiji aliposema kuwa (ipo YouTube) wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe alikosea Mkuu?
 
Hizo tuhuma za madawa ya kuongeza nguvu ni mjinga na mpumbavu pekee anayeweza kukubaliana nalo. Yaani Yanga ni wajinga kiasi hicho eti waingie vyumbani na misindano kibao kama inavyooneshwa kwenye picha za mchongo? Are they so stupid and ignorant? Whoever posted those pictures of misindano is stupid of the highest order. Suala lenyewe la misindano hiyo fake nadhani litachukua mkondo wa kisheria ili kuwaadabisha baadhi ya watu>
 
"umejua kutufuraisha"πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Israeli huwa inakimbia au inaoopa Vita? Tena waambie wawe makini kwani nimeshapewa Rungu kuwa yoyote anayenitolea Lugha mbovu nimripoti tu ili ale UMEME / BAN sasa Wewe wajaze Waumie / Waumizwe na Moderators. Nimemaliza.
Umeshiba vipolo huko ulipo toka ukawaza ujinga
 
Kwa matokeo haya ya yanga yangu kila lisemwalo ni kwel kabisa.napata wapi nguvu za kubisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…