Hizi tabia kwenye daladala ziliniumizaga sana

Nimeshawahi kukabwa koo na kunusurika kisa Mambo haya na lijamaa akinituhumu nimembambia na uboho live!!

Kwa kawaida mimi mfupi, ikabidi nimtulize kijana,kua brother hiki ni kitovu tu ulikiegemea mwenyewe. Hakika nina kitovu kikubwa kimevimba kama pera bivu!!
 
Daah kuna kipindi nilikuwa nasubir daladala iloyojaa ndio nipande

Ila kunasiku nilikutana na tako moja kubwa sana afu limevaliwa sketi laini ya mpira asee niliteseka ile siku na yule bidada alijua akawa anafanya makusudi nikielekea pembeni gali likiyumba kidg tu tako hilo hapo kalileta tena anaiset dushe ikae usawa wa mfereji ule
 
Kajifunze kuongea/ kuandika kwa staha
 
Yani uko kama mimj, sipendi kabisa mbaya zaid wanaume wanahisi kila mtu hufurahia huu upunguani wao
 
Na Hilo jina lako Sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Kipenz mm nikimuona mtu amevaa nicab nahisi Pana kitu anaficha wao wanaovaa Kwa stars na wengine wanajificha
Lakini kuna mahijabu mengine wanayafunga kamba kiunoni kwahiyo shepu inaonekana kama kawaida pia mahijab mengine mepesi akitembea unaona kabisa dah
 
Mm nishakutana na mkosi wa Shoga ananiletea kijitako chake daaaaaah nilijihisi fedhea siku iyo
 
Kipenz mm nikimuona mtu amevaa nicab nahisi Pana kitu anaficha wao wanaovaa Kwa stars na wengine wanajificha
Kila mmoja atalipwa kwa nia yake maana sote twaweza mfukuza kuku mmoja ila nia zikawa tofauti mwingine anamfukuza labda asidhurike namwingine anamfukuza sababu hampend hataki kumwona, hvyo kila mmoja atalipwa kwa nia yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…