YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Kuna siku gari la gongolamboto,mbaba mtu mzima anambambia mtoto kama wa 16 hivi,mtoto kakosa amani akisogea anamfuata,anambambia.....weeeee nikaona huyu Mzee analeta uhayawani huyu....nikamwitaa "we Mzee wewe,niingize gari kituoni?nikajifanya askari kanzu,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]akauchuna anajifanya kakaza macho nje "nikarudia we Mzee mwenye kofia nakuuliza niingize gari kituoni?watu hawaelewi[emoji16]!huwezi amini Ile gari ilikuwa kwenye foleni njia panda ya segerea yule baba akashuka,...nikacheka rohoni huyu nae angejua Mimi ni kanjanja tu asingeshuka[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kweli wewe ni sister angu kabisa tunafanana uchizi!! Safi ulimkomesha.
Hapo ungejifanya bandidu unajipigisha simu ya uongo na ungemkaripia konda hakuna kusimamisha gari mpk kituoni, mbona hadi nauli ungelipiwa