Hizi tabia kwenye daladala ziliniumizaga sana

Hizi tabia kwenye daladala ziliniumizaga sana

Ila siku Moja nilipataga msisimko nikatamani yule mkaka aipenyeze
Kwa nini unalalamika sasa? Maana mtu tangu anaanza kukukaribia umekaa kimya ameanza kukugusisha umekaa kimya mpaka umepata hamu ya kutaka akupenyezee halafu unakuja hapa kulalamika? Hili tatizo halitomalizika ikiwa nyinyi wenyewe wanawake mnakaa kimya ilhali mkijua kuwa kuna mtu anakugusisha kwa makusudi kabisa! Ni wanawake kama wewe ambao wanawapa hawa perverts impression ya kuwa mnaupenda mtindo huu.
 
Mwanaume yoyote lijali Lazima apitie hii Hali as long as ameishi Dar es salaam .....
Unamaanisha mwanamme kijana mwenye baleghe changa na girlfriend pekee alowahi kuwa nae ni kiganja chake cha mkono? Hii tabia sio ya kistaarabu na wala sio ya mtu kujisifia, kwa nini umdhalilishe mwanamke namna hii?
 
😆😆 daah noma sana, mi ilinikuta opposite, yani mwanamke ndio ananibambia ananigusisha vitu vyake mgongoni, mara ajifanye kama kachoka kusimama anigusishe magoti nyuma ya magoti, mara aegemeze mkono begani.
Mwishowe akaniuliza natumia perfume gani, wakati mi nimepuliza body spray ya kifala na li perfume la kugongea magetoni, nikaropoka tu "Ralph Lauren"😆
 
Daaaa jf sihami😂😂😂😂😂 ralph lauren hahaha ulichukua namba?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe ni hatari..
Mi huwa namgeukia na sura ya mbuzi,neno Moja tu "we baba jiheshimu"inanywea yenyeweeee

Kuna mmoja alinipa simu nisave namba, nikamwambia konda nashuka nikasepa nayo! Kuniitia mwizi hawezi kabaki na kigugumizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Lakini zamani nilikuwa nimelanduka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nambinya kifurushi chake, wanajiendekeza sana
Kuna siku gari la gongolamboto,mbaba mtu mzima anambambia mtoto kama wa 16 hivi,mtoto kakosa amani akisogea anamfuata,anambambia.....weeeee nikaona huyu Mzee analeta uhayawani huyu....nikamwitaa "we Mzee wewe,niingize gari kituoni?nikajifanya askari kanzu,🤣🤣🤣akauchuna anajifanya kakaza macho nje "nikarudia we Mzee mwenye kofia nakuuliza niingize gari kituoni?watu hawaelewi😁!huwezi amini Ile gari ilikuwa kwenye foleni njia panda ya segerea yule baba akashuka,...nikacheka rohoni huyu nae angejua Mimi ni kanjanja tu asingeshuka😂😂😂
 
Kuna mmoja alinipa simu nisave namba, nikamwambia konda nashuka nikasepa nayo! Kuniitia mwizi hawezi kabaki na kigugumizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Lakini zamani nilikuwa nimelanduka
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haki ya Mungu wewe ni muhuni sana!
 
Back
Top Bottom