Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nimewaza kama wewe atapigwa mtu za uso huko PmHamna mwanamke hapa.
Huyu ni mwenzetu kavuliwa ubingwa
Acha kutumia id ya kike, dume zimaUna maoni mkuu
Kwa nini unalalamika sasa? Maana mtu tangu anaanza kukukaribia umekaa kimya ameanza kukugusisha umekaa kimya mpaka umepata hamu ya kutaka akupenyezee halafu unakuja hapa kulalamika? Hili tatizo halitomalizika ikiwa nyinyi wenyewe wanawake mnakaa kimya ilhali mkijua kuwa kuna mtu anakugusisha kwa makusudi kabisa! Ni wanawake kama wewe ambao wanawapa hawa perverts impression ya kuwa mnaupenda mtindo huu.Ila siku Moja nilipataga msisimko nikatamani yule mkaka aipenyeze
Unamaanisha mwanamme kijana mwenye baleghe changa na girlfriend pekee alowahi kuwa nae ni kiganja chake cha mkono? Hii tabia sio ya kistaarabu na wala sio ya mtu kujisifia, kwa nini umdhalilishe mwanamke namna hii?Mwanaume yoyote lijali Lazima apitie hii Hali as long as ameishi Dar es salaam .....
Kwahiyo unatowa tako?Ila siku Moja nilipataga msisimko nikatamani yule mkaka aipenyeze
Ila siku Moja nilipataga msisimko nikatamani yule mkaka aipenyeze
I bet huyu ni MEIla siku Moja nilipataga msisimko nikatamani yule mkaka aipenyeze
🤣 Niacheee 🤒Khee, hukumwambia mshuke Mwanjelwa?
Wewe kinachokuuma nini si nawe unapata utamu? Tulia iingie yote.Mwanaume amesimama nyuma yako anakuelekezea mbo.mboView attachment 2671861
Ingawa halii huwapata sana Watoto wa 17-30 years
Leta pichaKuna siku ilibaki kidogo wazungu wapite, niliwekewa tako na mwanamke alikua amevaa baibui afu alikua na tako rojo rojo (kmmk) yani nashukuru alishukia njiani.
Katika mambo yananikera duniani na Hilo suala la kudidishiwa na mtu nisiye na makubaliano nae nalo limo..
🤣🤣🤣🤣Wewe ni hatari..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nambinya kifurushi chake, wanajiendekeza sana
Asee kwani hupendi kugusishiwa kidogo tu, wengine tuna ukame wa miezi 9 huku tuoneeni huruma basi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe ni hatari..
Mi huwa namgeukia na sura ya mbuzi,neno Moja tu "we baba jiheshimu"inanywea yenyeweeee
Daaaa jf sihami😂😂😂😂😂 ralph lauren hahaha ulichukua namba?😆😆 daah noma sana, mi ilinikuta opposite, yani mwanamke ndio ananibambia ananigusisha vitu vyake mgongoni, mara ajifanye kama kachoka kusimama anigusishe magoti nyuma ya magoti, mara aegemeze mkono begani.
Mwishowe akaniuliza natumia perfume gani, wakati mi nimepuliza body spray ya kifala na li perfume la kugongea magetoni, nikaropoka tu "Ralph Lauren"😆
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe ni hatari..
Mi huwa namgeukia na sura ya mbuzi,neno Moja tu "we baba jiheshimu"inanywea yenyeweeee
Kuna siku gari la gongolamboto,mbaba mtu mzima anambambia mtoto kama wa 16 hivi,mtoto kakosa amani akisogea anamfuata,anambambia.....weeeee nikaona huyu Mzee analeta uhayawani huyu....nikamwitaa "we Mzee wewe,niingize gari kituoni?nikajifanya askari kanzu,🤣🤣🤣akauchuna anajifanya kakaza macho nje "nikarudia we Mzee mwenye kofia nakuuliza niingize gari kituoni?watu hawaelewi😁!huwezi amini Ile gari ilikuwa kwenye foleni njia panda ya segerea yule baba akashuka,...nikacheka rohoni huyu nae angejua Mimi ni kanjanja tu asingeshuka😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nambinya kifurushi chake, wanajiendekeza sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haki ya Mungu wewe ni muhuni sana!Kuna mmoja alinipa simu nisave namba, nikamwambia konda nashuka nikasepa nayo! Kuniitia mwizi hawezi kabaki na kigugumizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini zamani nilikuwa nimelanduka