Hizi tabia kwenye daladala ziliniumizaga sana

Hizi tabia kwenye daladala ziliniumizaga sana

Kuna wanaume wapumbavu mno, mtu umevaa umejisitiri haswa tena hadi na niqab limtu limekazana kuleta madude yake kwenye makalio yan kero kabisa
Unajua uraibu wa porn unaharib wanaume kwa wanawake
Kuna dada alikuwa ananisogezea alafu anasema sorry. Nikirudi nyuma ananifata sasa akashuka Morocco hotel kituoni pale.
Nikasema ngoja nimtazame dirishani naona ananiangalia kana kwamba anasema mbona hushuki tuje tuyajenge๐Ÿ˜”
 
Nakuambia acha tu, yaani mi navyojua 80% ya wanawake hawawezi

Kuandika thread za ngono ngono, never my dear never

Ukiona thread tu, ya hayo mambo alafu id ya kike jua tu huyo ni dume hana ubingwa tena kuna moja ilikuwepo humu,

Tukasanuka wajuba ikasemwa vibaya saivi kimetulia tuli

Haya mambo ya kushabikia ngono ngono ni yetu sisi vidume

Wanawake wana pride na aibu sana hawawezi kudhusha thread ya kijinga hivi hapa,

The id owner isn't a woman case closed ๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ
Siku hizi wanaandika mkuu, ni kweli sio wote ila kuna wadada wapo so real wanaweza kuandika chochote, so let's not judge..tuteme sumu zetu wakati tunategeshewa kwa daladala!
 
Unajua uraibu wa porn unaharib wanaume kwa wanawake
Kuna dada alikuwa ananisogezea alafu anasema sorry. Nikirudi nyuma ananifata sasa akashuka Morocco hotel kituoni pale.
Nikasema ngoja nimtazame dirishani naona ananiangalia kana kwamba anasema mbona hushuki tuje tuyajenge๐Ÿ˜”
Ila sio wote wanafurahia hii hali, yan hapa ndo nasema wanaume viumbe vya ajabu, mtu haoni mkono uso wala mguu kila sehem yumesitiri yeye kazi kusogeza midude yake yan kama sio haya ningetamanu nimseme mule ndan ya gari, unasogea anakufwata mpka ikabidi nimgeukie nimuulize una shida gan sijui ndo akaona aibu akashuka
Ndo mwanzo wa kubeba mijini
 
Ilinitokea Mbezi-Gerezani, terrible! Yule dada alidhamiria naamini, takle la viwango, kavaa zile suruali sio za kubana, ila takle kama lote, nashangaa tu zigo linakuja, kila tukiyumba zigo hilo hapo..dah! Nilivyoona hali inaanza kuwa mbaya nikatafuta namna ya kugeuka, ajabu yeye akacheka!!
 
Ila sio wote wanafurahia hii hali, yan hapa ndo nasema wanaume viumbe vya ajabu, mtu haoni mkono uso wala mguu kila sehem yumesitiri yeye kazi kusogeza midude yake yan kama sio haya ningetamanu nimseme mule ndan ya gari, unasogea anakufwata mpka ikabidi nimgeukie nimuulize una shida gan sijui ndo akaona aibu akashuka
haha angesema Shida yake je? ๐Ÿ˜ƒ baby zu Leo umejua kunifurahisha ila you live in a man's world you need to adopt huna jinsi kabisa

hichi kitu kinakera ila sasa huwezi badilisha. Unaend labor unakuta doctor tena wengine wanapig picha kwend kuwaonyesha masela wenzake. What can you do dunia hii
 
Bila picha hapanogii
Screenshot_20230628-182347.jpg
 
Back
Top Bottom