Hizi tabia kwenye daladala ziliniumizaga sana

Kuna wanaume wapumbavu mno, mtu umevaa umejisitiri haswa tena hadi na niqab limtu limekazana kuleta madude yake kwenye makalio yan kero kabisa
Unajua uraibu wa porn unaharib wanaume kwa wanawake
Kuna dada alikuwa ananisogezea alafu anasema sorry. Nikirudi nyuma ananifata sasa akashuka Morocco hotel kituoni pale.
Nikasema ngoja nimtazame dirishani naona ananiangalia kana kwamba anasema mbona hushuki tuje tuyajengeπŸ˜”
 
Siku hizi wanaandika mkuu, ni kweli sio wote ila kuna wadada wapo so real wanaweza kuandika chochote, so let's not judge..tuteme sumu zetu wakati tunategeshewa kwa daladala!
 
Ila sio wote wanafurahia hii hali, yan hapa ndo nasema wanaume viumbe vya ajabu, mtu haoni mkono uso wala mguu kila sehem yumesitiri yeye kazi kusogeza midude yake yan kama sio haya ningetamanu nimseme mule ndan ya gari, unasogea anakufwata mpka ikabidi nimgeukie nimuulize una shida gan sijui ndo akaona aibu akashuka
Ndo mwanzo wa kubeba mijini
 
Ilinitokea Mbezi-Gerezani, terrible! Yule dada alidhamiria naamini, takle la viwango, kavaa zile suruali sio za kubana, ila takle kama lote, nashangaa tu zigo linakuja, kila tukiyumba zigo hilo hapo..dah! Nilivyoona hali inaanza kuwa mbaya nikatafuta namna ya kugeuka, ajabu yeye akacheka!!
 
haha angesema Shida yake je? πŸ˜ƒ baby zu Leo umejua kunifurahisha ila you live in a man's world you need to adopt huna jinsi kabisa

hichi kitu kinakera ila sasa huwezi badilisha. Unaend labor unakuta doctor tena wengine wanapig picha kwend kuwaonyesha masela wenzake. What can you do dunia hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…