Hizi tabia kwenye daladala ziliniumizaga sana

Hizi mada zingine bhana,,nipo na waifu hapa tunapanga mambo yetu huku tunachapa kamnyweso cha kukaribisha idd-elhaj!!anashangaa nimedindisha gafla na hivi vipenzi kama za bwana dimondi,,,stori zimebadilika sasa analiminyaminya lipoe!!
 
Jamani πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kak kak kak kak
 
Labor panaeleweka kua unasaidika upate mtoto na uhai wako, sasa kwenye daladala aliemwambia nawashwa au mkunaji wangu hanikuni alete nijaribu midude yake tena bila ridhaa yangu tena public kama mbwa
 
haha wale dunga dunga wanabambia mpaka wanaume. Maana nishawah ona jamaa anabambia wasela alivyoona namkazia macho akashukaπŸ˜ƒ
 
unafeli mwananguπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…