Hizi timu ndogo huwa zinanikosha sana siku zikicheza

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,926
Reaction score
95,626
Hivi wakuu ni kawaida kurudia kuangalia goli moja siku nzima?😁😁😁

Hili goli haliniishi hamu.Yaani narudia kuliangalia hadi simu inaisha chaji kisha nachaji tena simu narudia kuangalia tena hadi chaji inaisha tenaπŸ˜‚πŸ˜‚

Haya mambo ni kawaida au nimewehuka wakuu?😁
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…