Hizi tozo kubwa kwenye uingizaji magari zinalenga nini hasa?

Nchi inatangaza Utalii huku Land Cruiser za kubeba Watalii kodi zikiwa juu kweli sijui wanafikiri kwa kutumia nini na wansohusika na kubeba wageni gari nyingi za kuunga unga tu Nchi yangu tumekosa maharifa kabisa na gharama ya kukodi hilop gari bovu ipo juu mno na sheria kibao...
 
Bado Tanzania tupo kwenye uchumi wa kijamaa,mwenye nacho achangie zaidi mapato ya Serikali angalia PAYE,NHIF nk.na kumiliki chombo cha moto bado inachukuliwa kama anasa kwa hiyo kodi/ushuru juu.
Sasa hivi ulimletea mtu gari mwenye Tin mpya mpya wanaifungia mpaka atoe maelekezo ya kutosha nchi ngumu sana hii yaani mtu analeta gari watu wa kodi za ndani wanafungia Tin gari isiweze kulipiwa kodi..
 
Hapo Zanzibar mbona hawana Kodi kubwa kama Sisi wakati nchi ni moja na vyanzo vya mapato ni vilevile
 
Sasa hivi ulimletea mtu gari mwenye Tin mpya mpya wanaifungia mpaka atoe maelekezo ya kutosha nchi ngumu sana hii yaani mtu analeta gari watu wa kodi za ndani wanafungia Tin gari isiweze kulipiwa kodi..
Roho ngumu ya viongozi wetu inachangia Sana, Sisi ambao tunafanya biashara zetu hizi ndogondogo tunaona Hali ya halisi ya Tanzania na viongozi wetu
 
Kwa kifupi, serikali kupitia mamlaka yake ya TRA kitengo cha kodi za magari used wanazingua. Inabidi watengeneze formula upya.

Kwasababu, moja: theoretically, gari la zamani linatakiwa liwe na kodi kubwa kuliko gari jipya. Ila angalia CX5 hizi tatu, moja ya 2024, then 2023 na 2022. Ya 2024 ina ushuru mkubwa zaidi ya mil 10 kutoka 2022.



Na pili, wajue haya magari sasa sio anasa ni chombo cha usafiri, na kinatusaidia katika mishe mbalimbali. Haina haja gari unalipia vitu kibao kuanzia kodi, unakuja kulipia kwenye mafuta kodi, bima nao wanakodi yao serikali, etc. Wangepunguza gharama za kuagiza.


Tatu, kuna magari wangeyawekea exemption mfano yenye cc chini ya 1000 au ya umeme au gesi etc. Ata kama sio 100% free basi kodi iwe ndooogo sana.
 
Kwa hiyo gari ikiwa mpya ndio inakuwa na kodi zaidi??.
Ndio maana huwa nasema katika Taasisi za Serikali ambazo ni hovyo ni hiyo TRA.
 
serikali itaki muwe na usafiri inataka muwaone wao ndio wana usafiri wakati ni mahitaji ya lazima kwa kila binadamu
 
Vipi ukinunulia gari Malawi au huko Zambia halafu ufanye kuileta hapa bongo, kodi yake imekaaje.??
 
Kukomesha used cars
 
Acha kuchanganya mambo hiyo gari huinunui kutoka kwa mtengenezaji sema mnagawana pasu ha hao wauza used cars wa huko japani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…