Hizi tozo kubwa kwenye uingizaji magari zinalenga nini hasa?

Hizi D mbili ufafanuzi please
D mbili ni viwango vya ufaulu kwa mwanafunzi kumuwezesha kuingia chuo kikuu, kwa hiyo ukiwa nazo tunaamini una uelewa wa kutosha kukufanya ufaulu na kuchambua hoja fulani.
Kimsingi nimetumia lugha ya picha kuelezea kuwa magari yana kodi kubwa kwa sababu katika nchi yetu yapo kwenye kundi la anasa kama ilivyo kwa pombe, sigara n.k kwa hiyo kodi zake zinapigwa pasu kwa pasu na muuzaji.
 
Ukitaka kujua kuwa Mmerogwa tuna Bandari harafu magari yanayotakiwa kubeba mizigo kutoka bandarini kodi yake ni kubwa balaa mpaka inafikia Nchi jirani ndio wanakuja kubeba kwa gari zao maana gharama ya kulipia kwa kukodi ni kubwa kwa sababu ya uagizaji na matunzo ya hayo magari machakavu..
 
Sera mbovu!
 
Kuzaliwa nchi za ushenzi wa kijamaa na za kishamba kama hizi ni nuksi tupu
Kila kitu kinaonekana luxury .
Kitu kama gari kwa maisha ya sasa ni neccesity ya kurahisisha majukumu na si luxury .
Serikali ya kishenzi ya ccm inafanya mpaka takataka second hand za kutoka Japan zionekane luxury ,
Umasikini wa akili ni mbaya sana . Tanzania inaongozwa na majitu yenye umasikini wa akili .
Ni upumbavu
 
Kuzaliwa nchi za ushenzi wa kijamaa na za kishamba kama hizi ni nuksi tupu
Kila kitu kinaonekana luxury .
Kitu kama gari kwa maisha ya sasa ni neccesity ya kurahisisha majukumu na si luxury .
Serikali ya kishenzi ya ccm inafanya mpaka takataka second hand za kutoka Japan zionekane luxury ,
Umasikini wa akili ni mbaya sana . Tanzania inaongozwa na majitu yenye umasikini wa akili
Ni upumbavu

Ukienda Zambia ,Congo ,Malawi ,Rwanda ,Uganda nk

Watu wanaburuza vya vya nguvu , gari kama BMW ,Range rover , Volkswagen ,Jeep ,Ford nk zimejaa mitaani na ni za bei nafuu na zipo kwenye hali nzuri kabisa , Tanzania takataka zimechoka second hand huko zinaagizwa na kuletwa na kuuzwa na kupigwa kodi za kipuuzi mpaka bei haziendani na uhalisia

Yaani hakuna incentives za watu kununua gari mpya , mtu ukinunua gari mpya unapigwa kodi ya kuuza ukoo wenu wote .
Uzezeta unaofanyika kwenye serikali na vitengo vya nchi hii hauna kipimo
 
Hata watafuna kodi ni wachache vilevile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…