Hizi zilizowekwa katika barabara za miji ndani ya Wilaya ya Mbulu ni Lami au Kitu gani?

Hizi zilizowekwa katika barabara za miji ndani ya Wilaya ya Mbulu ni Lami au Kitu gani?

saigilomagema

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
4,683
Reaction score
7,222
Wilaya ya Mbulu ina miji midogo miwili Haydom na Dongobesh ambayo sehemu ya miji hiyo pamoja na mji wqa Mbulu amabayo ndiyo makao makuu ya wilaya barabara zake zimewekwa kitu kinachofanana na lami.

Naomba kujua kuna aina ngapi za lami, maana lami iliyowekwa ktk miji hii haifananni na lami ninazoziona ktk miji mingine ktk nchi hii. Mfano mzuri ktk makao makuu ya Mkoa wa Manyara (Babati) lami iliyowekwa ni nzuri sana very soft and strong.

Kilichowekwa ktk Wilaya ya Mbulu siielewi kwani unakuta kokoto ziko njenje inatoboa mpaka soli za viatu au sehemu zingine unakuta kokote imemwagwa juu ya barabara baada ya muda ukuta kokoto yote unakuta imetolewa pembezoni mwa barabara. Hiki ni kitu gani, ni aina gani ya lami?

Au ni kusema miji hii ina madaraja tofauti na miji mingine na kwanini? Au ndio upigaji maana Wilaya km ya Mbulu sijui hata km Waziri wa Ujenzi anaifahamu na km amewahi kuitembelea. Watumishi huku wanajifanyia wanavyoona inawafaa.
 
Wilaya ya Mbulu ina miji midogo miwili Haydom na Dongobesh ambayo sehemu ya miji hiyo pamoja na mji wqa Mbulu amabayo ndiyo makao makuu ya wilaya barabara zake zimewekwa kitu kinachofanana na lami. Naomba kujua kuna aina ngapi za lami, maana lami iliyowekwa ktk miji hii haifananni na lami ninazoziona ktk miji mingine ktk nchi hii. Mfano mzuri ktk makao makuu ya Mkoa wa Manyara (Babati) lami iliyowekwa ni nzuri sana very soft and strong. Kilichowekwa ktk Wilaya ya Mbulu siielewi kwani unakuta kokoto ziko njenje inatoboa mpaka soli za viatu au sehemu zingine unakuta kokote imemwagwa juu ya barabara baada ya muda ukuta kokoto yote unakuta imetolewa pembezoni mwa barabara. Hiki ni kitu gani, ni aina gani ya lami? Au ni kusema miji hii ina madaraja tofauti na miji mingine na kwanini? Au ndio upigaji maana Wilaya km ya Mbulu sijui hata km Waziri wa Ujenzi anaifahamu na km amewahi kuitembelea. Watumishi huku wanajifanyia wanavyoona inawafaa.
Ni ufisadi tupu hata pale mlima Magara ni aibu tupu miaka yote wanatengeneza barabara haishi
 
... yule mbunge wenu aliyepiga samasolti bungeni anasemaje? Ukoo wa panya ni majanga.
 
Barabara nyingi za huko hazina lami, wanaweka kokoto kutokana na kuwa na milima na kona Kali ili kupunguza speed ya magari
 
Back
Top Bottom