Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah. Mtaani kwangu huku mwanza wamejenga barabara ya hivi. Kifusi kinashindiliwa wanamwaga huo mchuzi wa lami then kokoto.Hiyo ni lami ya kichina, baada ya kushindilia wanamwaga mchuzi wa lami, baadae wanamwaga kokoto kubwa, na baadae kokoto ndogo hapo mchezo umeisha.
Lami zipo za aina nyingi. Kuna lami inayochangywa kati ya lami(binder) na kokoto kwenye mtambo kabla ya kuwekwa barabarani na hii huwezi kuona kokoto zikitoka.Naomba kujua kuna aina ngapi za lami, maana lami iliyowekwa ktk miji hii haifananni na lami ninazoziona ktk miji mingine ktk nchi hii.
PichaWilaya ya Mbulu ina miji midogo miwili Haydom na Dongobesh ambayo sehemu ya miji hiyo pamoja na mji wqa Mbulu amabayo ndiyo makao makuu ya wilaya barabara zake zimewekwa kitu kinachofanana na lami.
Naomba kujua kuna aina ngapi za lami, maana lami iliyowekwa ktk miji hii haifananni na lami ninazoziona ktk miji mingine ktk nchi hii. Mfano mzuri ktk makao makuu ya Mkoa wa Manyara (Babati) lami iliyowekwa ni nzuri sana very soft and strong.
Kilichowekwa ktk Wilaya ya Mbulu siielewi kwani unakuta kokoto ziko njenje inatoboa mpaka soli za viatu au sehemu zingine unakuta kokote imemwagwa juu ya barabara baada ya muda ukuta kokoto yote unakuta imetolewa pembezoni mwa barabara. Hiki ni kitu gani, ni aina gani ya lami?
Au ni kusema miji hii ina madaraja tofauti na miji mingine na kwanini? Au ndio upigaji maana Wilaya km ya Mbulu sijui hata km Waziri wa Ujenzi anaifahamu na km amewahi kuitembelea. Watumishi huku wanajifanyia wanavyoona inawafaa.
Hatuelewi weka pichaWilaya ya Mbulu ina miji midogo miwili Haydom na Dongobesh ambayo sehemu ya miji hiyo pamoja na mji wqa Mbulu amabayo ndiyo makao makuu ya wilaya barabara zake zimewekwa kitu kinachofanana na lami.
Naomba kujua kuna aina ngapi za lami, maana lami iliyowekwa ktk miji hii haifananni na lami ninazoziona ktk miji mingine ktk nchi hii. Mfano mzuri ktk makao makuu ya Mkoa wa Manyara (Babati) lami iliyowekwa ni nzuri sana very soft and strong.
Kilichowekwa ktk Wilaya ya Mbulu siielewi kwani unakuta kokoto ziko njenje inatoboa mpaka soli za viatu au sehemu zingine unakuta kokote imemwagwa juu ya barabara baada ya muda ukuta kokoto yote unakuta imetolewa pembezoni mwa barabara. Hiki ni kitu gani, ni aina gani ya lami?
Au ni kusema miji hii ina madaraja tofauti na miji mingine na kwanini? Au ndio upigaji maana Wilaya km ya Mbulu sijui hata km Waziri wa Ujenzi anaifahamu na km amewahi kuitembelea. Watumishi huku wanajifanyia wanavyoona inawafaa.
Barabara ya Malimbe ndio imetengenezwa hivyo mi nikajua ujenzi haujaisha kumbe ndio imetoka ivyoYeah. Mtaani kwangu huku mwanza wamejenga barabara ya hivi. Kifusi kinashindiliwa wanamwaga huo mchuzi wa lami then kokoto.
Magari yakipita baada ya mda kokoto inashikana na huo mchuzi wa lami nyingine zinakaa pembeni ndo barabara hiyo
Yaani mkekeka mzuri hivi jamaa analalamika?Hii ni bitumen au lami iliyochanganywa na kokoto kwenye mambo View attachment 2294158
Wazuri ila miguu yao sasaHuko si ndio kuna ma mwanamke mazuri?