Hizo Range Rover unazopishana nazo Vitasa vyake vimeingia kwa ndani, used tu Bila Mil 400 hujamiliki!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Ukiachana na eVoque au RR Sports, kuna hizi RR ndefu zikijilock vitasa havionekani na kwa nyuma zina taa ndefu kwenda chini.

Bwana izo ni RR 5th gen (2023+), bei ya moto kinoma. Used tu bila Mil 400 kuzipata ni mtihani.

Mjapan pekee anataka Mil 270+ na TRA nao wanataka Mil 180+

Na hapo unakuta sio Autobiography wala SV ambazo izo sasa ni topic nyingine.
 
RR hazijawai nibariki kabisa kama Bentley
 
Engine ina uwezo gani vip gear box pia
 
Nafikiri ifike mahala, watu wajue tunaishi ulimwengu wa tatu hivyo sio sawa kulazimisha kuishi maisha ambayo hatujafikia. Tabia ya watu flan flan, kulazimisha kuishi maisha ya ulimwengu wa kwanza inawafanya wafanye mengi yasiyompendeza Mungu ili kufikia malengo yao.

Umewahi kujiuliza unaishi hapa duniani kwa takriban miaka 70 au 80 (pengine umeshamaliza 50 au 60 tayari) ambapo iliyobakia ni michache sana ukilinganisha na ambayo umesha ishi..
Umewahi kujiuliza waliokufa miaka pengine 1000 na zaidi iliyopita wapo wapi na yapi wanapitia?

Sasa kwa nini utende yasiyofaa kwa wengine ili utajirike na kunufaika na huo utajiri pengine kwa miaka 20 iliyobakia kwenye maisha yako halafu ukifa ukasote kwa Mungu pengine kwa zaidi ya miaka 1000???
SIKU ZA MWISHO NI NGUMU KULIKO UGUMU WOWOTE AMBAO BINADAM AMEWAHI KUUWAZIA.
ILA MUNGU AMETUPA NAFASI YA KUTUBU NA KUSAMEHEWA HIVYO CHUKUA HATUA SASA!
 
Tuendelee na ibada mkuu.....kuna watu hawaamini Mungu kabisa ata kufa kwa wanasema ni ulongo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…