Hizo Range Rover unazopishana nazo Vitasa vyake vimeingia kwa ndani, used tu Bila Mil 400 hujamiliki!

Hizo Range Rover unazopishana nazo Vitasa vyake vimeingia kwa ndani, used tu Bila Mil 400 hujamiliki!

Bentayga au?

RR me nazielewa, sema nje ya budget na reliability ni tatizo.

Nchi za wenzetu hawanuni cash izo gari, wanalease.

Bongo hii huduma haipo kabisa.
CMC automobile hawana hiyo huduma kweli au wao wanatoa gari za mikopo ?

bentley flying spur, continental gt, bentayga zote mie unyamaa sanaa.. Ila Ukiwa na RR ili isiwe na picha picha nyingi uwe na zingine hata kama tano hivi rotation iwe ya maana.. Kuna RR namba B ukiziangalia kama mpyaaa kaka
 
Kwa iyo Brother kwa uzoefu wako huo wa miaka ya 90's, "Range Rover ya 1990''s" ni sawa na Range Rover 5th gen 2023!!
Kwamba matatizo uliyoyaona kwenye RR za Mshua wako miaka ya 90's, ndio matatizo hayo hayo yapo kwenye 5th generation RR!!

Acha kutupanga basi Brother! 😁
Hakuna nilipokupangia mkuu.

Nakupangia vipi kwenye mtandao?

Nakueleza tu nimetumia Range Rover ya Muingereza si hii ya sasa ya muhindi yenye engine ya Peugeot na Ford.

Hakuna nilipokupangia hapo.

Limbuka tu, ni haki yako ya kikatiba na kibinadamu.

Mimi nasimamia haki za binadamu.

Sijakupangia.

Labda una inferiority complex tu.
 
CMC automobile hawana hiyo huduma kweli au wao wanatoa gari za mikopo ?

bentley flying spur, continental gt, bentayga zote mie unyamaa sanaa.. Ila Ukiwa na RR ili isiwe na picha picha nyingi uwe na zingine hata kama tano hivi rotation iwe ya maana.. Kuna RR namba B ukiziangalia kama mpyaaa kaka
Mtu mwenye RR hawezi kua na gari moja nadhani. Lazima atakua na vigari daily vingine. Mfano Prado, etc.

Bongo kama simu za mkopo tu zimeanza juzi juzi, tena wanakopesha wauzaji sio makampuni makubwa, unadhani utampa gari mtu la Mil 100 akajifiche Busisi.
 
😅😅
Nakumbuka TALA walivyopigwa na wabongo..

Ikijua namna ya kuishi na RR maisha inakuwa matamu
 
Hakuna nilipokupangia mkuu.

Nakupangia vipi kwenye mtandao?

Nakueleza tu nimetumia Range Rover ya Muingereza si hii ya sasa ya muhindi yenye engine ya Peugeot na Ford.

Hakuna nilipokupangia hapo.

Labda una inferiority complex tu.

Kusema kwamba ulionyeshwa matatizo ya Range Rover za miaka ya 90, na kutaka kutuaminisha kwamba Range Rover, imekuwa na "matatizo" hayo mpaka sasa, hiyo ni fiksi Brother!

Hakuna "Inferiority Complex" yeyote kwenye maandishi yangu.
 
Nafikiri ifike mahala, watu wajue tunaishi ulimwengu wa tatu hivyo sio sawa kulazimisha kuishi maisha ambayo hatujafikia.
Tabia ya watu flan flan, kulazimisha kuishi maisha ya ulimwengu wa kwanza inawafanya wafanye mengi yasiyompendeza Mungu ili kufikia malengo yao.
Umewahi kujiuliza unaishi hapa duniani kwa takriban miaka 80 (pengine umeshamaliza 50 au 60 tayari) ambapo iliyobakia ni michache sana ukilinganisha na pengine na waliokufa miaka 1000 na zaidi iliyopita (Umewahi kujiuliza hao waliokufa wapo wapi na wanapitia wakati gani kutokana na matendo yao hapa Duniani?)
Sasa kwa nini utende yasiyofaa kwa wengine ili utajirike na kunufaika na huo utajiri pengine kwa miaka 20 au 30 iliyobakia kwenye maisha yako halafu ukifa ukasote kwa Mungu pengine kwa zaidi ya miaka 1000???
Halafu mtu amepitia kuwa rais ana utajiri wa matrion na amestaafu bado analipwa,bado ukute ana umri bado miaka si zaidi ya 10 ya kuishi hapa duniani au chini ya hapo hawazi hayo bado moyo wake unampelekea kufanya ya kuondoa wengine ili aendelee kuimiliki hiki kijiji cha dunia.

Mwingine unakuta ana miaka 60+ yuko radhi aondoe wengine ili mradi tu aendelee kutawala sehemu hii ndogo ya dunia. Tena kwa miaka mi5 tu.
 
Hakuna nilipokupangia mkuu.

Nakupangia vipi kwenye mtandao?

Nakueleza tu nimetumia Range Rover ya Muingereza si hii ya sasa ya muhindi yenye engine ya Peugeot na Ford.

Hakuna nilipokupangia hapo.

Limbuka tu, ni haki yako ya kikatiba na kibinadamu.

Mimi nasimamia haki za binadamu.

Sijakupangia.

Labda una inferiority complex tu.

Ulitumia Range Rover Model gani Brother miaka hiyo ya tisini?

Utanipa majina mengi, lakini fact yako kwamba, matatizo ya Range Rover ya miaka ya tisini, ni yale yale Range Rover ya 5th generation, huu ni uwongo wa karne.
 
Kusema kwamba ulionyeshwa matatizo ya Range Rover za miaka ya 90, na kutaka kutuaminisha kwamba Range Rover, imekuwa na "matatizo" hayo mpaka sasa, hiyo ni fiksi Brother!

Hakuna "Superiority Complex" yeyote kwenye maandishi yangu. Hiyo ni chai.
Wewe mburula ngumbaru hata kusoma tu hujui.

Wapi nimeandika superiority complex?

Wewe una utapiamlo wa ubongo na makengeza ya mawazo huwezi kujadiliana na mimi.

You do not have the requisite reading comprehension skills.
 
Ulitumia Range Rover Model gani Brother miaka hiyo ya tisini?

Utanipa majina mengi, lakini fact yako kwamba, matatizo ya Range Rover ya miaka ya tisini, ni yale yale Range Rover ya 5th generation, huu ni uwongo wa karne.
Logical non sequitur fallacy.

Wapi nimesema matatizo ya Range Rover ya miaka ya tisini ni yale yale ya Range Rover ya 5th generation?

You lack reading comprehension skills you cretin miscreant of a fucktard.
 
Wewe mburula ngumbaru hata kusoma tu hujui.

Wapi nimeandika superiority complex?

Wewe una utapiamlo wa ubongo na makengeza ya mawazo huwezi kujadiliana na mimi.

You do not have the requisite reading comprehension skills.

Kiranga, nimekuuliza ulitumia RR, model gani hiyo miaka ya tisini?
Mbona unanitupia matusi mengi? 😁
 
Kwanza hii 5th gen (L46) inakuja na engine za Petrol na Diesel, zote turbo.

Pia kuna non-hybrid na hybrid. Non hybrid kuna V8 4.4L Petrol na ipo ya Diesel I6 3.0L. Wakati hybrid zote ni I6 3.0L (Petrol na Diesel).

Hybrid zipo za aina mbili hapa, MHEV (Mild Hybrid Electric Vehicle) na PHEV (Plugin Hybrid EV - za Kuchaji)!

Power zina range kutegemea na engine ila kuanzia 250 hp hadi 560 hp.

Transmission/gearbox ni Auto, 8-gears transmission.
Uzuri hamna nilichokielewa hapa.Lugha za magari bhana. 😅
 
Logical non sequitir fallacy.

Wapi nimesema matatizo ya Range Rover ya miaka ya tisini ni yale yale ya Range Rover ya 5th generation?

You lack reading comprehension skills you cretin miscreant of a fucktard.

Kiranga, rudi kwenye hoja yetu kule juu, unachokifanya ni kutaka kuhamisha goli kwa kunishambulia. 😁
 
Kiranga, rudi kwenye hoja yetu kule juu, unachokifanya ni kutaka kuhamisha goli kwa kunishambulia. 😁
Hoja ukiiona itaijua?

Nikushambulie wee nzi wa chooni uswahilini mimi kwanza nitakujulia wapi?

Nakupeleka kwenye ignore list yangu kuanzia hapa sitaona unachoandika.

Usipate sababu ya kulialia nakushambulia wakati hata sikujui ndiyo kwanza nakuona leo, na sikujui.

Nikushambulie kwa mavi gani uliyonayo?
 
Back
Top Bottom